Ninakubaliana na Rais hakuna vita ngumu kama ya uchumi, tushikamane

Tuna nini? Tuna import Toothpick, tuna Vaa mitumba yaani hatuna uwezo wa kuvaa nguo special tuje tupigwe vita?

Yaani unatumia Iphone yai kudai kuna vita vya kiuchumi? Wachina wanapigana vita na wana post kwa kutumia simu zao Huawei.

Tuache ujinga, hizi story kawaelezeni wazazi wenu huko bushi
 
Kabisa
 
Yaliyo sirini yatafichuka yote iwe ICC au Tanzania mtayajibu ni swala la muda tuu

Ndio mtajua hamjui
Hiyo akili kichekesho ya Siro mwisho wake ni mipaka ya nchi ya Tz waliko waliomtuma.
 
Hawa wajinga sana, tunaagiza Tooth pic nje then wanakuja na swaga za kijinga sana, mbaya zaidi wanatumia techinolojia ya Wazungu kulalamika kuna vita ya kiuchumi.

Tunavaa mitumba kutoka Ulaya na Marekani
Ni uchumi gani mnaouzungumzia ambao Nchi zingine hawana,ili Hali hata madawati na vyoo mashuleni hawana,hata majengo ya vituo vya afya hakuna hata panado.
 
How tutaenda kuthibitisha hayo hayakuhusu . Wewe subiria tu kuona jinsi gani mnatiwa nyavuni
Yaani arguments zako kama mtoto anaemtishia mwenzake nitakusemea kwa Baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani arguments zako kama mtoto anaemtishia mwenzake nitakusemea kwa Baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani ICC ni vitisho??? Endelea kuamini kuwa ni vitisho huku Icc wenyewe wakiwa wamekiri kupokea baadhi ya complaints .
 
Tuko kwenye vita ya uchumi demokrasia inatumika kama mwamvuli tuu
Tuko kwenye vita ya kiuchumi na nani? Hiyo vita imeanza lini? Kwanini?

Sio kila mnaloambiwa mnameza hivyo hivyo, Tz inaingiaje kwenye vita ya kiuchumi na nchi kama USA? Ukiona yanayoendelea kati ya China na US ndio unaweza kupata uhalisia wa nini maaana ya vita ya kiuchumi!

Sisi hapa sanasana tunasmweza kuingia kwenye vita ya kiuchumi na labda Kenya, tuseme kwa kugombania wateja wa bandari!
 
Vita ipi sasa asihalalishe kushindwa kwake kwa kuwatupia lawama wengine.

Kama unawekeza kupambana na watu badala ya maendeleo usimtupie lawama mtu.
Ukizuia upinzani wa ndani wa nje utakunyoosha.

Huwezi endelea kwa kuwa kisiwa.
Ujuaji mwingi maanguko
 
Hahaha uchumi gani uliopo Tanzania hii?

Binafsi siwezi kuwatetea ccm hata kama nikimuona mwehu anatega bomu a nuclear bungeni nita hakikisha na mlinda mpaka afanikiwe kuwalipua wote!.
 
Ili kushinda vita ya kiuchumi lazima ujenge jeshi lako, ambalo ni wafanya biashara, na ndio sababu viongozi wakuu wanapoenda kwenye nchi zingine wanakwenda na wafanya biashara, sasa sijui kama hilo lipo, kwani biashara zinafungwa, kesi za uhujumu, serikali ikishajenga hofu kwa wafanyabisha hakuna uchumi, kwani makosa yapo sana kwenye biashara, ni kama mwanajeshi aliyeko vitani kuna makosa mengi yanafanyika kotokana na mazingira. hivyo serikali inatakiwa kujadiliana na kumaliza makosa hayo mezani, ni kama Trafic case, kama zingeshughulikiwa kama mada kesi nazani hakuna mtu angetaka kuendesha gari. Ili tuendelee Kiuchumia ni lazima tuwe na viongozi amabao wanaipenda nchi yao na wanaona aibu kuongoza watu masikini.
 
Alipigwa risasi kwenye uchaguzi?
Mbona unachanganyikiwa mapema 😁
Sikia Magufuli anapewa kesi ya political persecution toka 2016 alivyoanza kufanya madudu..shambulio la Lissu ndani...hatoki kamtuma Mwamposa akamwombee wakati wazungu ndio waliomleta huyo Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…