Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kuua watu tangu lini ukawa utaifa??Daaah! Utoto umekuzidi mtu gani ambaye hujivunii utaifa wako?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuua watu tangu lini ukawa utaifa??Daaah! Utoto umekuzidi mtu gani ambaye hujivunii utaifa wako?
Hebu thibitisha nani kauliwa?Kuua watu tangu lini ukawa utaifa??
Ben Saanane, Azory Gwandwa, Rwabajethibitisha nani kauliwa?
Ndio mtakavyoenda kuthibitisha hivyo ICCBen Saanane, Azory Gwandwa, Rwabaje
Maisha ni uchumi na uhuru wa kweli ni uchumi. Wale waliosomea siasa Uchumi yaani political Economy wanajua uhusiano wa siasa na uchumi. Pia wanafahamu uhusiano wa binadamu juu ya uzalishaji.
Kimsingi mapambano yoyote ya kisiasa msingi wake ni uchumi ni nani apate nini na kwa wakati gani. Taifa letu linapita kwenye kipindi kigumu kutokana na jitihada za Rais wetu kuleta mageuzi ya kiuchumi ili kulifanya taifa kujitegemea na kwa kulinda raslimali zake.
Hivyo vita vya ndani na nje ya nchi kama taifa na Rais wetu ni matokeo ya jitihada hizo na matamanio ya kundi la ndani ya nchi kushirikiana na mataifa nyonyaji nje.
Kihistoria kuanzia wakati wa biashara ya utumwa, ukoloni na sasa ukoloni mambo leo Afrika imekuwa mhanga wa ukandamizwaji na mataifa makubwa kunufaika na raslimali ipatikanayo Afrika.
Fika ulaya ujionee ilivyojengwa kwa raslimali zetu na biashara ya utumwa enzi hizo.Mataifa haya hayataacha kupigania kututawala kiuchumi yakijua raslimali iliyopo ni muhimu kwa mustakabali wa mataifa hayo.
Kelele tunazosikia kwenye siasa ndani na nje ya nchi ni vita ya kiuchumi. Hivyo watanzania tushikamane na Rais wetu dhidi ya unyonyaji huu.
Aidha vyombo vya dola, serikali na mifumo yote haina budi kujengwa upya kwa mwelekeo wa falsafa ya kizalendo na kujitegemea ili kukabiliana na vita hii ambayo hujitokeza katika sura na mbinu mbalimbali zisizo na kikomo.
KabisaMaisha ni uchumi na uhuru wa kweli ni uchumi. Wale waliosomea siasa Uchumi yaani political Economy wanajua uhusiano wa siasa na uchumi. Pia wanafahamu uhusiano wa binadamu juu ya uzalishaji.
Kimsingi mapambano yoyote ya kisiasa msingi wake ni uchumi ni nani apate nini na kwa wakati gani. Taifa letu linapita kwenye kipindi kigumu kutokana na jitihada za Rais wetu kuleta mageuzi ya kiuchumi ili kulifanya taifa kujitegemea na kwa kulinda raslimali zake.
Hivyo vita vya ndani na nje ya nchi kama taifa na Rais wetu ni matokeo ya jitihada hizo na matamanio ya kundi la ndani ya nchi kushirikiana na mataifa nyonyaji nje.
Kihistoria kuanzia wakati wa biashara ya utumwa, ukoloni na sasa ukoloni mambo leo Afrika imekuwa mhanga wa ukandamizwaji na mataifa makubwa kunufaika na raslimali ipatikanayo Afrika.
Fika ulaya ujionee ilivyojengwa kwa raslimali zetu na biashara ya utumwa enzi hizo.Mataifa haya hayataacha kupigania kututawala kiuchumi yakijua raslimali iliyopo ni muhimu kwa mustakabali wa mataifa hayo.
Kelele tunazosikia kwenye siasa ndani na nje ya nchi ni vita ya kiuchumi. Hivyo watanzania tushikamane na Rais wetu dhidi ya unyonyaji huu.
Aidha vyombo vya dola, serikali na mifumo yote haina budi kujengwa upya kwa mwelekeo wa falsafa ya kizalendo na kujitegemea ili kukabiliana na vita hii ambayo hujitokeza katika sura na mbinu mbalimbali zisizo na kikomo.
How tutaenda kuthibitisha hayo hayakuhusu . Wewe subiria tu kuona jinsi gani mnatiwa nyavuniNdio mtakavyoenda kuthibitisha hivyo ICC
Hiyo akili kichekesho ya Siro mwisho wake ni mipaka ya nchi ya Tz waliko waliomtuma.Yaliyo sirini yatafichuka yote iwe ICC au Tanzania mtayajibu ni swala la muda tuu
Ndio mtajua hamjui
Ni uchumi gani mnaouzungumzia ambao Nchi zingine hawana,ili Hali hata madawati na vyoo mashuleni hawana,hata majengo ya vituo vya afya hakuna hata panado.
Yaani arguments zako kama mtoto anaemtishia mwenzake nitakusemea kwa Baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]How tutaenda kuthibitisha hayo hayakuhusu . Wewe subiria tu kuona jinsi gani mnatiwa nyavuni
Kwani ICC ni vitisho??? Endelea kuamini kuwa ni vitisho huku Icc wenyewe wakiwa wamekiri kupokea baadhi ya complaints .Yaani arguments zako kama mtoto anaemtishia mwenzake nitakusemea kwa Baba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli we need a win win situation na kutoingilia maamuzi yetu kiuchumi.Tuko kwenye vita ya uchumi demokrasia inatumika kama mwamvuli tuu
Tuko kwenye vita ya kiuchumi na nani? Hiyo vita imeanza lini? Kwanini?Tuko kwenye vita ya uchumi demokrasia inatumika kama mwamvuli tuu
Maamuzi yenu kiuchumi ni yapi?Ni kweli we need a win win situation na kutoingilia maamuzi yetu kiuchumi.
Hahahahaha aiseeee kweli ndugu yangu.Na Vita hii ya Uchumi huwa ni ngumu kama pale Wazungu wakikupa Msaada kwa Kuwakamua Kodi Watu Wao halafu Wewe unahongea Mahawara.
Ili kushinda vita ya kiuchumi lazima ujenge jeshi lako, ambalo ni wafanya biashara, na ndio sababu viongozi wakuu wanapoenda kwenye nchi zingine wanakwenda na wafanya biashara, sasa sijui kama hilo lipo, kwani biashara zinafungwa, kesi za uhujumu, serikali ikishajenga hofu kwa wafanyabisha hakuna uchumi, kwani makosa yapo sana kwenye biashara, ni kama mwanajeshi aliyeko vitani kuna makosa mengi yanafanyika kotokana na mazingira. hivyo serikali inatakiwa kujadiliana na kumaliza makosa hayo mezani, ni kama Trafic case, kama zingeshughulikiwa kama mada kesi nazani hakuna mtu angetaka kuendesha gari. Ili tuendelee Kiuchumia ni lazima tuwe na viongozi amabao wanaipenda nchi yao na wanaona aibu kuongoza watu masikini.Maisha ni uchumi na uhuru wa kweli ni uchumi. Wale waliosomea siasa Uchumi yaani political Economy wanajua uhusiano wa siasa na uchumi. Pia wanafahamu uhusiano wa binadamu juu ya uzalishaji.
Kimsingi mapambano yoyote ya kisiasa msingi wake ni uchumi ni nani apate nini na kwa wakati gani. Taifa letu linapita kwenye kipindi kigumu kutokana na jitihada za Rais wetu kuleta mageuzi ya kiuchumi ili kulifanya taifa kujitegemea na kwa kulinda raslimali zake.
Hivyo vita vya ndani na nje ya nchi kama taifa na Rais wetu ni matokeo ya jitihada hizo na matamanio ya kundi la ndani ya nchi kushirikiana na mataifa nyonyaji nje.
Kihistoria kuanzia wakati wa biashara ya utumwa, ukoloni na sasa ukoloni mambo leo Afrika imekuwa mhanga wa ukandamizwaji na mataifa makubwa kunufaika na raslimali ipatikanayo Afrika.
Fika ulaya ujionee ilivyojengwa kwa raslimali zetu na biashara ya utumwa enzi hizo.Mataifa haya hayataacha kupigania kututawala kiuchumi yakijua raslimali iliyopo ni muhimu kwa mustakabali wa mataifa hayo.
Kelele tunazosikia kwenye siasa ndani na nje ya nchi ni vita ya kiuchumi. Hivyo watanzania tushikamane na Rais wetu dhidi ya unyonyaji huu.
Aidha vyombo vya dola, serikali na mifumo yote haina budi kujengwa upya kwa mwelekeo wa falsafa ya kizalendo na kujitegemea ili kukabiliana na vita hii ambayo hujitokeza katika sura na mbinu mbalimbali zisizo na kikomo.
Sikia Magufuli anapewa kesi ya political persecution toka 2016 alivyoanza kufanya madudu..shambulio la Lissu ndani...hatoki kamtuma Mwamposa akamwombee wakati wazungu ndio waliomleta huyo MunguAlipigwa risasi kwenye uchaguzi?
Mbona unachanganyikiwa mapema 😁