Ninampenda Miss Natafuta

Ninampenda Miss Natafuta

wakuu kuna mtu kaedit uzi huu....

kaona anajua sana kaandika nampenda miss natafuta..wakati mimi niliandika MISS NATAFUTA lakini huyo kaongeza neno nampenda...angeacha hivyo hivyo tu mimi nina maana yangu kutoliweka hilo neno
Hahahhh mwenye uwezo wa kuedit uzi ni mod shemela usiogope
 
Hahahahh imekuuma sana ya kugegedwa na kutumiana video
nimeshangaa tu shosti wangu video zenyewe hazirushwi
ila shunie nimewaza kuna watu huku jf sijui wana maisha gani.watu wengine wapo serias huku eti . eti watu wanarushiana viclip huko pm .ahaaaa jf hii au kuna nyingine jamani?
 
Back
Top Bottom