Aigoo
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 3,124
- 2,819
@Abuhasifa mtafute mshana jr atakusaidia sana mtu kama Miss Natafuta utampata simple sana mana ye mwenyew anasema mpaka sasa hajapata anachokitafuta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I see!!!@Abuhasifa mtafute mshana jr atakusaidia sana mtu kama Miss Natafuta utampata simple sana mana ye mwenyew anasema mpaka sasa hajapata anachokitafuta
eheheee mkuu hujapata? au ni wewe umenigegeda?
Nipo hapaNakukubali Sana Jolie Jolie
Uchambuzi Wako Upo Vzr Sana Hongera Fukua Fukua Ngoja Nikuite Shunie Hapa Alete Chepeo
Cc Shunie
Huyu atakuwa busy tu leo wakunyumbaHivi mzigua leo yuko wapi?
Mdomo haujabaki wazi kweliLahaulaaa lakwata......
Hapa ndipo ninapo iamkia Jf....tehteehh
akuuuuMiss Natafuta huyu ndio shemeji Mungu amekushushia
Hahahhh mwenye uwezo wa kuedit uzi ni mod shemela usiogopewakuu kuna mtu kaedit uzi huu....
kaona anajua sana kaandika nampenda miss natafuta..wakati mimi niliandika MISS NATAFUTA lakini huyo kaongeza neno nampenda...angeacha hivyo hivyo tu mimi nina maana yangu kutoliweka hilo neno
Wenzako hawatoagi taarifa inakuwa sapuraizMm ndo nmebak tu cjaleta
uz humu. Inna jiandae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila kwa kweli mleta mada we ni mwenyeji kabisa wala sio mgeni kama unavyosema
Hahahahh imekuuma sana ya kugegedwa na kutumiana videoeheheee mkuu hujapata? au ni wewe umenigegeda?
Jaman ukimpata mchepuko wako mwambie ampe salaam zangu gilesi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namtafuta Asprin
Huyu ni wazamani kwa ID ya sasaMiss Natafuta huyu ndio shemeji Mungu amekushushia
KhaaaaJaman ukimpata mchepuko wako mwambie ampe salaam zangu gilesi
nimeshangaa tu shosti wangu video zenyewe hazirushwiHahahahh imekuuma sana ya kugegedwa na kutumiana video
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikuulize wewe ulipomficha wapi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Namtafuta Asprin
Asisahau na lile tusiJaman ukimpata mchepuko wako mwambie ampe salaam zangu gilesi
Sijamficha jamani... Nammiss tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nikuulize wewe ulipomficha wapi?
Siku hazifanani mama, ujue leo nimeamua nimtumikie tu Mungu maana siku zinahesabika....tehteehhMdomo haujabaki wazi kweli