Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

Wewe ni nani hata uhukumu wewe kwa nafasi yako unatenda mangapi ambayo ulistahili adhabu ya mauti, sasa rais amefanya jambo gani ambalo linamfanya hivi ungekuwepo enzi za Musa kiongozi na mtumishi wa Mungu alipoua watu ungesemaje,sijataja Daudi,Ibrahim na wengine kwa nafasi zao walilazimika kuua lakini haikuondoa nafasi zao kwa Mungu,kwa taarifa yako Mungu ndie anae weka mamlaka zote duniani iwe kwa ubaya au uzuri, hivyo upende usipende magufuli amewekwa na Mungu na amechagua kumcha Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stupiddddd andiko. Halina kichwa wala miguu. Wewe utakuwa mwathilika wa utumbuaji wa Dr John Magufuli..Rais wa mile Le wa Tanzania
Mathayo : Mlango 13

13 Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala kuelewa.
 
Makanisa yote aliyoingia huyo mtu sitakanyaga milele
 
Yani jamaahajui tu athari ya kutajataja jina la sir godi kizembe zembe madhabahuni. Awaulize tu akina Semenya wa Ukaldayo kilichowasibu kutajataja
 
Utashangaa sana.Unajifanya hujui jina la huyu Mwamba.magufuli, ndio JOHN( Yohana mbatizagi). Anawabatiza wenye dhambi wote wapinzani uchwara maji .na kila goti litapigwa chini ya Jiwe yeye anajiita jiwe kila kitakacho jikwaa kitasambaratika vipandevipande. Wapinzani acha kupambana na huyu Jiwe maana mtafanya ukiwa(wiped out)
 
Very interesting, kila kona mnahangaika na JPM. JPM ndio rais na hamuwezi kumfanya lolote lile, anafanya anachotaka nyinyi makuwadi mmekalia udaku tu JF. Mabwana zenu kunawaka moto kwao Amerika (USA) burning na hapo bado hizi ni rasha rasha tu.
 
Kwani hana haki kumtaja muumba wake? Unataka amtaje nani kwa mfano
 
Hata yeye ni mwanadamu jamani kiramtu anaudhaifu wake na uzuri wake,mbonahujaandika japo hata moja zuri lake ndugu??
 
Nimeshangazwa kumbe kutaja jina la Mungu ni dhambi

Inategemea

Amri za Mungu

1. Usilitaje bure jina la Mungu wako

Na Amri kuu za Mungu

1. Mpende Mungu wako kwa akili yako, nguvu zako ..........nk usiabudu miungu wengine

2. Mpende jirani yako (mwenzako...binadamu) kama unavojipenda mwenyewe

Lisu
Saanane
Azory
Mashehe wa uamusho
Wasio na ajira
Wanaosota mahabusu
Na wengineo wengi.
 
Una hoja ya maana sana. Hata mimi huwa naona kama anamkebehi Mungu. Kiongozi anayemtegemea Mungu hawezi kufanya mambo maovu kama haya.
 
Una hoja ya maana sana. Hata mimi huwa naona kama anamkebehi Mungu. Kiongozi anayemtegemea Mungu hawezi kufanya mambo maovu kama haya.
Jamaa huwa ni mnafki sana..anamtumia mungu kama kichaka tu cha kufanikisha maovu yake...yaani tuna rais ambaye ni shetwani mtaja muumba
 
Miungu wako wengi mkuu, huenda jamaa anataja mungu na siyo Mungu? Kwa hayo mengine nakubaliana na wewe ila namba 7 hapo chini hapana! Tusiwasikilize Wazungu hao wana ajenda zao za siri na hili janga la Corona. Sasa miafrika imeingia kichwa kichwa bila kujua! Hivi unayashuhudia yanayotendeka USA? Kama Corona ingekuwa hatari kwenye misongamano tungekuwa tunaokota mizoga huko kwao! Umesikia wangapi wamekufa kwa Corona kwenye hayo maandamano? Let us respond to it in an African ways!
 
Muuaji na mchawi inakuwaje mchamungu? Anajifanya mchamungu kumbe amekamatwa na kumilikiwa na shetani
 
Sure Jomba. Ya US yanatufumbua kitu fulani hivi. Tusiwe kama mazezeta tuzinduke. Inasikitisha pia mpaka leo hii tuna watanzania huko nje wakiendelea kuwa vibaraka wa hayo mazungu. Stupiddddddd.
 
Muuaji na mchawi inakuwaje mchamungu? Anajifanya mchamungu kumbe amekamatwa na kumilikiwa na shetani
Jomba shetani unamjua kweli au una joke.nadhan nati zimekatika kichwani mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…