Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

Una chuki na wazungu sababu mlisoma syllabus za zamani ziliwafundisha kuwachukia wazungu.
Ajenda ya corona so waliokufa ulaya sio wazungu
Wacha hizo bwana mdogo, wewe umesoma syllabusy gani inayokuambia lazima uwapende Wazungu? Hayo majitu hayana urafiki wa kudumu, yanaangalia maslahi! Yanatujaza ujinga ili yauze dawa na chanjo, kwa hili la coronya niko upande wa Jiwe, nimemwelewa vizuri sana!
 
Wacha hizo bwana mdogo, wewe umesoma syllabusy gani inayokuambia lazima uwapende Wazungu? Hayo majitu hayana urafiki wa kudumu, yanaangalia maslahi! Yanatujaza ujinga ili yauze dawa na chanjo, kwa hili la coronya niko upande wa Jiwe, nimemwelewa vizuri sana!
Syllabus za 90s angalau akili zetu azikufungwa kwenye syllabus za zamani za kijamaa thus tuna global thinking tofauti na nyie .Mbona wao ndo wameathirika zaidi kuliko Waafrika.Tushukuru tu mazingira ya Africa plus immunity zetu hazisapoti Sana corona virus bila hivo tungekufa Kama mchwa.Kwann tunapenda Sana chuki.Hatulazimishwi kununua daww na chanjo zao ni kwa sababu ya sera mbovu zimepelekea kuua dawa zetu za asili.
 
Tantalila (propaganda) za wanachama pinzani... Nadhani wewe ungepewa uvae viatu alivyovaa magufuli hata sekunde kumi usingefikisha ungevivua na kuvitupa mbali!! Yeye anaishi kwa kuwakumbusha wananchi wake wawe na hofu ya mungu na sii vingimevyo mbona wachawi wanawanga lakini jina la mungu halikauki vinywani mwao.. Uje ushangae rais kumtaja mungu kwa kila jambo, huo ugonjwa uliokuwa nao usipoangalia utakuja kukuua shuwain.
...mbona wachawi wanawanga lakini jina la mungu halikauki vinywani mwao...
Umewasikia wapi hao wachawi?
Mtajitaja tu.
 
Watu wnakwenda kugawa pesa kanisani na sio kumuomba Mungu,wakidhani wanaweza mnunua Mungu Kama walivowanunua viongozi wa dini.
 
Akili bwana
20200608_103656.jpg
 
!
!
Mkuu Umekosa Vya Kushangaa Au!? Utapoteza Hisia Za Kushangaa Bure kwa Kumshangaa Huyu Mtu. Maboko Kila Siku.
 
Bado tunaaminishwa kila siku huyu ni rais wa pekee duniani na Tanzania tumeletewa huyu na Mungu Tena wanakazia kwamba Tanzania haijawahi kupata rais Kama huyu mtetezi wawanyonge utasikia wanasema dunia nzima inamuiga rais huyu khaaaa Yani nikisikiaga huu unafiki namuuliza Mungu kwanini anaendelea kuvumilia hii kufuru?

Hakika muacheni Mungu aitwe Mungu ni mvumilivu mwenye upendo na kusamehe ningekuwa Mimi ningewapasua kwa umeme wa radi toka angani wao na huyo wamuabudio.
Kila kiongozi anatoka kwa Mungu.Mkipata kiongozi mbaya maana yake mmemkosea Mungu hivyo anawapa kiongozi mbaya ili mpate muda wa kumrudia Mungu na mtubu kwa yote mliyomkosea
 
Kwa lipi hadi utaje taje Jina la Mungu?

1. Kagera walipopatwa na tetemeko uliwaambia kuwa CCM wala Serikali hawajaleta tetemeko. Hiyo siyo kauli ya mtu anayemcha Mungu.

2. Tundu Lissu aliposhambuliwa kwa risasi wewe kama kiongozi wa kitaifa hujawahi kuja na hatua yoyote dhidi ya tukio hilo. Huo siyo mwenendo wa mcha Mungu.

3. Walipotaka kukusanyika ili wamuombee Tundu Lissu uponyaji wa haraka ukawazuia. Huo siyo moyo wa mcha Mungu.

4. MO Dewji alitekwa akarudishwa akiwa amedhalilishwa. Wewe kama kiongozi wa kitaifa hukumuwajibisha yeyote kutokana na tukio lile. Huo siyo mwenendo wa mcha Mungu.

5. Ben Saanane na Azory Gwanda wenye familia zinazowategemea wamepotea na kupotea. Wakati familia zao zikilia hakuna chochote kinachoendelea. Kiongozi mcha Mungu kweli angeonekana hata kwa haya yaliyotokea.

6. Chini ya utawala wako watu wamepelekwa mahabusu kwa upelelezi usioisha, wamepewa kesi zisizo na dhamana wamo pia vijana wadogo, viongozi, wanasiasa. Kisha kwa mapenzi yako ukawaachia huru wafungwa wa ulawiti na ubakaji. Huo siyo mwenendo wa mcha Mungu. Mcha Mungu anatenda haki kila sehemu, habagui kwenye kutenda haki.

7. Unaruhusu anasa wakati wa janga la Corona, watu watanzania wanapimwa huko mipakani na kurudishwa nchini, wapo wanaokufa mpaka leo. Ukiacha anasa zikaendelea wakati wa janga kisha unarudi na kusema kuwa Mungu katuondolea janga mbaya zaidi ukiwa na lengo la kuuficha ukweli fulani kwa hakika Mungu huyo anaweza kukupa pigo la aina yake.

Mwisho niseme tu kuwa kiongozi mcha Mungu hafichi fichi mambo kwa manufaa yake kisiasa. Ni mkweli kila upande. Hachagui upande wa kuongea ukweli wala wa kuficha ukweli. Ukimuangalia leo yake ni sawa na jana yake na vile vile ni sawa na kesho yake. Anafanana kila siku, kila sehemu.

Viongozi wa dini wa awamu hii wametekwa na kikundi fulani cha wana siasa ambao wao kwao ni mwendo wa kupanda madhabahuni kuhubiri huku mambo lukuki yakiwa yamejificha ndani ya mioyo yao
Idd Amin alipomaliza kumuua Askofu janan Luwum alikwenda kuhiji Mecca. Wauaji wote wako hivyo!

Janani Luwum’s family and Idi Amin’s kinsmen reconcile on 42nd anniversary of martyrdom
Posted on: February 20, 2019 12:19 PM
ImageGen.ashx

Archbishop Janai Luwum was arrested on the instructions of Idi Amin on 16 February 1977. The following day, authorities announced he had died in a car crash, but when his body was handed to relatives it was found that he had been shot at least four times through the mouth and chest.
Photo Credit: Church of Uganda
 
Inasemekana Bashite alikapeleka kwa mganga baada ya kukutwa nje ya ikulu na taulo
 
Back
Top Bottom