Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

Jomba Sikuelewi.sijui unaelewa maana ya hiyo maneno ya amri. Na nani ambaye huts ja bure jina la Mungu.na unamjuajekwani wewe ni Mungu wa kuweza kujua rohoni mwa mtu
 

Ujinga ni Pamoja na KuJustify Ujinga wa Binadamu waovu na Kuwafananisha na Mtoto wa Mungu Rais Magufuli.
 
Kwa ujinga huu upinzan sahauni kuongoza hii nchi kwan hakuna mtanzania hata mmoja ambaye atawaunga mkono kwa kumkashifu rais wa watanzania ambaye anayoyafanya yanaonekana dunian kote. Hakuna nchi ambayo haitaman kuongozwa na jpm chuma cha pua rais mwenye msimamo usioyumba na mawazo chanya kwa nch yake. Chamcngi mwenye ubav wa kupambana nae achukue form agombee aone aibu atakayokutana nayo. Kwa sasa ata hoja zimeisha kabisa. Hv hayo uliyosema nimtanzania gani atakuelewa? Wakati mwingine kama hauna cha kuandika ni bora ukakaa kimya. Maana Mungu wa JPm aliyekua anamuomba ucku na mchana ndiye anayekufa unaandika huu ujinga ukiwa mzima wa afya.
 
Chaguo la Mungu ni pendo utenda ya Kimungu jibu unalo
 
Yaani anataja bila tashwishi kabisa
 
Hivi ninyi watu hamna hoja nyingine ukiacha ya kupotea watu au kudhurika kwa watu?

Mwanaume anapolirudia rudia jambo moja kila cku inaitwa GUBU na mwenye GUBU hakai na mke wala familia, huishia kujitenga peke hata akafa kwa sonono.
 
Natafakari haya kwenye biblia takatifu nione Kama Kuna ukweli
 
Hivi ninyi watu hamna hoja nyingine ukiacha ya kupotea watu au kudhurika kwa watu?

Mwanaume anapolirudia rudia jambo moja kila cku inaitwa GUBU na mwenye GUBU hakai na mke wala familia, huishia kujitenga peke hata akafa kwa sonono.
Yeye mbona anarudia rudia kutaja Mungu kila siku? Acha tumpe makavu yake.
 
Jomba Sikuelewi.sijui unaelewa maana ya hiyo maneno ya amri. Na nani ambaye huts ja bure jina la Mungu.na unamjuajekwani wewe ni Mungu wa kuweza kujua rohoni mwa mtu

Huwezi kuelewa nilichokiandika ni zaidi ya uwezo wako kuelewa.

Rudia kusoma mada, ulichokishangaa mpaka nikakujibu hivo

Na Imani katika Mungu nini mipaka yake
 
duh,he is worst fisadi then, halafu yuko keen kuweka sheria ya viongozi wa juu kutopelekwa mahakamani,, anayajua a anayoyafanya
Hili la sheria ya kuhakikisha hatuyakamati majizi na mauaji likipita nitathibitisha ku
wa tumechaguliwa shetani mkuu Lucifer kabisa.
 
Ukiona kiongozi anapenda kutaja taja jina la MUNGU kuwa makini sn na matendo yake
 
Kula tano
 

Jina la mungu mazabahuni ndo sehemu yake, sasa ulitaka alitajie kilabuni au baani?
 
Ndiyo hapo hapo Maswali Kibao ya Ulakini wa Uwepo wa Mungu. Maana kwa amateso haya yoye, hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…