Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

Kwa kuongezea amefukuza watu kazi ambao mchango wao kwa nchi hii ni mkubwa yeye hajawahi kuufikia na hato ufikia hata afanyaje.
 
Watu wanajua kumtania Mungu kweli aiseee.6:5 Mathayo ,Tena msalipo msiwe kama wale wanafiki wanaotaka waonekane na watu Bali usalipo jifungie ndani na Mungu atakujazi.
 
Dhambi za wengine haziwezifutika ni kumkufuru Mungu.Kwa Mungu unataka kwa shetani unataka pia.Kupiga picha kanisani na kuonekana kanisani ni vitu viwili tofauti
 
Una chuki na wazungu sababu mlisoma syllabus za zamani ziliwafundisha kuwachukia wazungu.
Ajenda ya corona so waliokufa ulaya sio wazungu
 
Mafundisho ya uislam yanatambua kwamba kiongozi aliyepomadarakani hapaswi kupingwa hadharani hata awe dhalimu au mchaji Allah, hivyo yote yanatoka kwa Allah kheir na shari
Basi mnadanganywa, kweli mliingizwa chaka na huyo mtume wenu.
 
Siku zote shetani hapendi kusikia MUNGU akitajwa Sasa mleta mada isije kuwa una DNA ya ushetani
 
Nenda katangaze vifo vya corona huko Rais Magu siyo size yako!
 
Utakufa na stress tu wewe!
 
List ya madikteta wote Africa 90% ni sie wakristo,hapa huwa nashangaa je mafundisho yetu yana walakini? Tofauti na dini ya Kiislamu.
 
Unataka alitaje jina LA MUNGU nyumbani kwenu?
 
Ulikaanaye wapi Mungu mkapanga mipango ya kumweka madarakani
 
Naomba mumkumbushe kuwa kasahua kusema "naomba mniombee".
 
Mafundisho ya uislam yanatambua kwamba kiongozi aliyepomadarakani hapaswi kupingwa hadharani hata awe dhalimu au mchaji Allah, hivyo yote yanatoka kwa Allah kheir na shari
Ila nilisikia kuwa Uislam unasema "hata kama huwezi kuuzuia udhalimu, basi ukemee na/au uchukie" kuna ukweli kwenye hilo?
 
wewe una huyo Mungu, au ndio mnapinga kilakitu! alafu unaandika huu ujinga, unakuta upo kwenye gari, unakatiza barabara hizo za juu, hapo ubungo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…