Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

NDUGU YANGU NI KAWAIDA WACHAMUNGU NA WASIOWACHAMUNGU HULITEJA JINA LA MUNGU,WAOVU NA WEMA WANALITAJA JINA LA MUNGU
 
Na wewe kalitajetaje msalani!
 
Daah,Wananzengo bhana ,kwa hyo umeshakua na WiVu kiasi hicho na MUNGU mpaka umemuona mwenzako tena Mkuu wa nchi ni mchafu kiasi asitaje jina la MUNGU?...haya kuwa kwanza kumrushia jiwe basi!
 
Ndivo tulivyo wanadam huwa macho yetu yamefumbwa kuona mazuri anayoyatenda mtu mbadala wake tumekuwa tukitumia muda mwingi kuyataja mabaya ya wanaojitahidi kufanya mazuri, use alot of ur time to pray bwashee in order to be attempted out from such blindness. Nakuombea
 
Ongeza alitimua wenye vyei feki huku akituhumiwa kubeba fulani anaedaiwa kuwa na cheti feki.Mcha Mungu hayuko hivyo hata kidogo.
 
Tantalila (propaganda) za wanachama pinzani... Nadhani wewe ungepewa uvae viatu alivyovaa magufuli hata sekunde kumi usingefikisha ungevivua na kuvitupa mbali!! Yeye anaishi kwa kuwakumbusha wananchi wake wawe na hofu ya mungu na sii vingimevyo mbona wachawi wanawanga lakini jina la mungu halikauki vinywani mwao.. Uje ushangae rais kumtaja mungu kwa kila jambo, huo ugonjwa uliokuwa nao usipoangalia utakuja kukuua shuwain.
 



👍100
 
damu zimekataana kabisa na huyu mnyanyasaji.
 
Anadhani anamuhonga Mungu amewanunua viongozi wa dini lkn hawezi mnunua Mungu
 
duh,he is worst fisadi then, halafu yuko keen kuweka sheria ya viongozi wa juu kutopelekwa mahakamani,, anayajua a anayoyafanya
Huyu hata aweke sheria za kumkinga na wenzake; sheria za kipuuzi hizo zitabadilishwa afikishwe mbele ya haki. Huyu amedharau sana misingi ya kiutawala.
 
Mungu ni wa wote....wema na wabaya.
weny dhambi na wasio na dhambi.
hakuna anayemmiliki Mungu. but Yeye anatumiliki cc sote
 
Mafundisho ya uislam yanatambua kwamba kiongozi aliyepomadarakani hapaswi kupingwa hadharani hata awe dhalimu au mchaji Allah, hivyo yote yanatoka kwa Allah kheir na shari
Hivyo vitabu sio vya zama hizi..wakati huo kulikuwa na wafalme...hawa wa sasa wanakimbia na sanduku la kura alafu Useme mpango wa Mungu..
 
wewe una huyo Mungu, au ndio mnapinga kilakitu! alafu unaandika huu ujinga, unakuta upo kwenye gari, unakatiza barabara hizo za juu, hapo ubungo!
Sasa ndiyo umeandika nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…