Ninamshangaa Rais Magufuli anapotaja taja jina la Mungu madhabahuni!

Una chuki na wazungu sababu mlisoma syllabus za zamani ziliwafundisha kuwachukia wazungu.
Ajenda ya corona so waliokufa ulaya sio wazungu
Wacha hizo bwana mdogo, wewe umesoma syllabusy gani inayokuambia lazima uwapende Wazungu? Hayo majitu hayana urafiki wa kudumu, yanaangalia maslahi! Yanatujaza ujinga ili yauze dawa na chanjo, kwa hili la coronya niko upande wa Jiwe, nimemwelewa vizuri sana!
 
Syllabus za 90s angalau akili zetu azikufungwa kwenye syllabus za zamani za kijamaa thus tuna global thinking tofauti na nyie .Mbona wao ndo wameathirika zaidi kuliko Waafrika.Tushukuru tu mazingira ya Africa plus immunity zetu hazisapoti Sana corona virus bila hivo tungekufa Kama mchwa.Kwann tunapenda Sana chuki.Hatulazimishwi kununua daww na chanjo zao ni kwa sababu ya sera mbovu zimepelekea kuua dawa zetu za asili.
 
...mbona wachawi wanawanga lakini jina la mungu halikauki vinywani mwao...
Umewasikia wapi hao wachawi?
Mtajitaja tu.
 
Watu wnakwenda kugawa pesa kanisani na sio kumuomba Mungu,wakidhani wanaweza mnunua Mungu Kama walivowanunua viongozi wa dini.
 
!
!
Mkuu Umekosa Vya Kushangaa Au!? Utapoteza Hisia Za Kushangaa Bure kwa Kumshangaa Huyu Mtu. Maboko Kila Siku.
 
Kila kiongozi anatoka kwa Mungu.Mkipata kiongozi mbaya maana yake mmemkosea Mungu hivyo anawapa kiongozi mbaya ili mpate muda wa kumrudia Mungu na mtubu kwa yote mliyomkosea
 
Idd Amin alipomaliza kumuua Askofu janan Luwum alikwenda kuhiji Mecca. Wauaji wote wako hivyo!

Janani Luwum’s family and Idi Amin’s kinsmen reconcile on 42nd anniversary of martyrdom
Posted on: February 20, 2019 12:19 PM

Archbishop Janai Luwum was arrested on the instructions of Idi Amin on 16 February 1977. The following day, authorities announced he had died in a car crash, but when his body was handed to relatives it was found that he had been shot at least four times through the mouth and chest.
Photo Credit: Church of Uganda
 
Inasemekana Bashite alikapeleka kwa mganga baada ya kukutwa nje ya ikulu na taulo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…