Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita..
CCM ina ilani yake ndiyo nini hicho? Hii ni ccm ya Magufuli, kwa hiyo kuna ahadi za Magufuli, Magufuli kwanza ndiyo maana Magufuli anasema ametekeleza na anataka mitano tenaCcm ina ilani yake ya 2020-2025. Hizo ndizo ahadi za nini kitafanyika.
✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻✌🏻Jamani
Magufuli lazima avune alichopanda kwa miaka hii miatano! Kifupi ni kwamba "tutamfurahisha"!
Katutesa sana huyu!
Hahaaaa leo naona lumumba mmepoteana hamjalipwa posho niniKwenye kampeni kwanza unatoa ripoti ya ulichofanya kwa wapiga kura
lazima utoe ripoti kwao.Ulienda na ilani ukasema nitafanya hivi sasa ni je ulifanya?..
It's too late kwa Magufuli kukikwepa kikombe cha dhambi aliyotutenda watanzania.Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita...
Hizi akili hizi..!Siku ukiharisha alafu ukatibiwa kwenye vituo vya afya alivyojenga ndio utamkubali.
Hiyo hela vilivyojengwa hivyo vituo vya Afya kaitoa mfukoni mwake?Acha uzuzu hilo ni jukumu na sio hisani,kila Serikali hata ya TLP itafanya hivyo.Siku ukiharisha alafu ukatibiwa kwenye vituo vya afya alivyojenga ndio utamkubali.
Mbona Mbowe alikula pesa za ruzuku na michango ya wabunge?Hiyo hela vilivyojengwa hivyo vituo vya Afya kaitoa mfukoni mwake?Acha uzuzu hilo ni jukumu na sio hisani,kila Serikali hata ya TLP itafanya hivyo.
Sent from my TA-1024 using JamiiForums mobile app
Usitupangie. Nyie ndio wale mafisadi na wenye vyeti feki mliobanwa na awamu ya 5.Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita....
CCM mnajisifu kuwa wavuvi mahiri lakini la kushangaza mnavua vyura badala ya samaki. Kwa Magufuli mlituvulia bonge la mchura!!!! samaki mkawaacha.Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita....
Huyu akili zinamrudi kidogo kidogo nadhani baada ya polepole kujinadi wao kuwa na mavi-80 wakati huko mikoani na wilayani watumishi wa chama wakiwemo makatibu hali zao mbaya hata pesa ya kujaza mafuta kwenye magari anayoyanadi ni mpaka waombe ombe sababu pesa zote zinaenda makao makuu huku wao wakirudishiwa kidunchu! Waendelee kuisoma namba hivyo hivyo ili tuongee lugha moya 😀Wewe mpuuzi polepole atakua hajakulipa posho siku hizi mbili...
7 days to go unaongea utumbo huu..ulikuwa wapi siku zote..!??
Hata unajua maana ya “ufisadi” wewe darasa la nne failure! Au unadhani ufisadi ni lazima ukwapue pesa kwenye mifuko ya rambo. Hujui hata Rais wako kutembea na begi la pesa na kuwagawia awatakao ni ufisadi? Hizo pesa si za kwake, wa si za kwao chato ni za Umma! Mnatuchelewesha sana nyie wajinga wajinga!Mbona Mbowe alikula pesa za ruzuku na michango ya wabunge?
JPM sio fisadi ndio maana hajala pesa za watanzania, zimefanya kazi kubwa.
Huyu alikuwa kama wewe,ila alitibiwa kwenye hospital zilizojengwa na JPMSio kila mtu ni mlevi wa propaganda