Uchaguzi 2020 Ninamshauri Dkt. Magufuli aache kusema alivyofanya na aseme atakavyofanya akichaguliwa tena

Uchaguzi 2020 Ninamshauri Dkt. Magufuli aache kusema alivyofanya na aseme atakavyofanya akichaguliwa tena

Atabakia anahesabu madaraja tu hana jipya
Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita...
.
 
Magufuli ni rais asiyejielewa kabisa. Huwezi kutawala Afrika kaa mabavu bila kuondolewa
 
Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita....
Mkuu mbona mambo yote yapo kwenye ilani ya uchaguzi, unakwama wapi?
 
Kwenye kampeni kwanza unatoa ripoti ya ulichofanya kwa wapiga kura
lazima utoe ripoti kwao.Ulienda na ilani ukasema nitafanya hivi sasa ni je ulifanya?...
Sijakataa kwamba yapo kwenye ilani ishi ni je watanzania wanazisoma nani anazo au nn maana ya kunadi ilani ?
 
Mkuu wacha hoja yangu ni je nani anahaja ya kusoma ilani .unazijua akili za watanzania kuhusu kusoma hakuna anayesoma wengi husikiliza ya jukwaani tu so tuseme tutafanya nn kwa wapiga kura
Mkuu mbona mambo yote yapo kwenye ilani ya uchaguzi, unakwama wapi?
 
Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita....
Sasa kama wewe umesomeshwa na umefanya kazi CCM si upeleke ushauri wako ofisini kwa waliokusomesha mkuu?
 
Mbinu hizi zimefail, Asipo sema alivyofanya ataaminika vipi kuwa anaweza kufanya anayo ahidi? Huyu ni Rais anaye ahidi na akatenda pasi shaka yeyote. Leo ni moja ya siku ambayo JPM kafanya kampeni kama yuleyule wa siku zote.

Hizi propoganda za kutaka kumbadilisha awe laini laini zikataliwe haswa. He is a No Soft President. Ndio Trade Mark yake hiyo. Genge la maadui wa Taifa wanataka wamuhujumu kwa kumchomekea mambo ambayo si yake.
 
Kuna haja ya kusema zaidi na zaidi
 
Atasema nn huku miaka mitano amevurunda balaaa
 
Mkuu hawa ni Vilaza sana wamechanganyikiwa mpaka wanapoteana nimecheka sana lisu kamatia hapohapo
Kwani ninyi hamjuani?
Huyu ni mwenzenu Ametoa ushauri mzuri Ameona kuna kasoro kwenye kampeni za mkulu
Ilikuwa vyema ungezingatia ushauri huu kuliko kumtukana though it's too late
Ninyi ndio mnaomdanganya mnufaike ninyi na familia zenu
Ficha ujinga wako walau kwa sekunde chache
Deal na reality bro bra bru kha
IMG_20201004_214806.jpeg
IMG_20201019_214008.jpeg
IMG_20201004_214038.jpeg
IMG_20200926_184130.jpeg
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu,mmeteseka kwa kukandamizwa stahiki zenu kwa muda mrefu sanaa.Miaka 5 mmekuwa kituko mtaani maisha yenu.
 
Mgombea wako chalii hoi bin tabani. Amebaki kusubiri Kudra za NEC tu. Amabazo nazo zimeshashindwa.

Wangecheza vizuri kuzuia Lissu asigombee......ilikuwa mistake kubwa sana kwa maccm.
Wasingeweza mpango wa Mungu ulikuwa hauzuiliki
 
Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita

Kwa miaka mitano kila television,magazeti na vyombo vingi vya nje na ndani ya nchi vimeeleza mambo muhimu aliyoyafanya rais magufuli ikatosha , kwa sasa tunafanya kampeni na wenzetu wananadi sera hivyo sera hushindana na sera na sio kila mtu anazipata na kuzisoma ilani za vyama wengi tunategemea kusikia majukwaani tu.

Tabia ya watanzania wengi sio kusoma ni kusikia na hizi ilani hazisambazwi sana kwa jamii hivyo kuna haja ya mgombea wetu kuisemea sana tena sana zaidi ya hapa

Kila Mtanzania anafahamu kuwa Rais Magufuli kafanya nini ktk kipindi cha miaka mitano , he is excellent for the maxim so sio habari tena inabaki kuwa legacy kama atamaliza muda wake na hapa tuelewane ubora wa kiongozi unapimwa kwa anavyomalizia utawala wake sio anavyoanza na huu ndio mtihani kwa watawala wengi maana wengi huharibu mwishoni .

Watu wanataka atafanya nini kipya kama atachaguliwa tena na wameelekeza mawazo yao kwenye ajira,mikopo, fao la kujitoa, ongezekeo la mishahara na n.k

Mambo ya ujenzi yameimbwa sana ndani ya miaka 5 na sio habari tena kama tunavyosema katika tasnia ya habari kuwa kama inafahamika ifahamishwe ya nini ?

Please jopo la kampeni mwambieni JPM aseme atafanya nini sio alifanya nini?

USSR
We bwege unafuatilia kampeni za JPM? Husikii ahadi za nini atafanya? Husikii habari za kununua ndege zingine tano na kukamilisha Sgr,we bwege sana.
Safi sana! Naona mmeanza kuparurana wenyewe kwa wenyewe
 
Usitupangie. Nyie ndio wale mafisadi na wenye vyeti feki mliobanwa na awamu ya 5.

Mgombea wetu ataendelea na kampeni hivihivi kwa kuelezea miradi ya ujenzi na ununuzi wa ndege nyingine 5.

Wewe unatumika na mabeberu na usitupangie.
Mmepoteana wazee wa lumumba
 
Back
Top Bottom