Uchaguzi 2020 Ninamshauri Dkt. Magufuli aache kusema alivyofanya na aseme atakavyofanya akichaguliwa tena

Atabakia anahesabu madaraja tu hana jipya
Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita...
.
 
Magufuli ni rais asiyejielewa kabisa. Huwezi kutawala Afrika kaa mabavu bila kuondolewa
 
Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita....
Mkuu mbona mambo yote yapo kwenye ilani ya uchaguzi, unakwama wapi?
 
Kwenye kampeni kwanza unatoa ripoti ya ulichofanya kwa wapiga kura
lazima utoe ripoti kwao.Ulienda na ilani ukasema nitafanya hivi sasa ni je ulifanya?...
Sijakataa kwamba yapo kwenye ilani ishi ni je watanzania wanazisoma nani anazo au nn maana ya kunadi ilani ?
 
Mkuu wacha hoja yangu ni je nani anahaja ya kusoma ilani .unazijua akili za watanzania kuhusu kusoma hakuna anayesoma wengi husikiliza ya jukwaani tu so tuseme tutafanya nn kwa wapiga kura
Mkuu mbona mambo yote yapo kwenye ilani ya uchaguzi, unakwama wapi?
 
Wanaukumbi kwanza niseme wazi kuwa mimi ni mwanaccm kindakindaki na nyuzi zangu humu zinafahamika tangu nimejiunga na chama hiki miongo kadhaa iliyopita....
Sasa kama wewe umesomeshwa na umefanya kazi CCM si upeleke ushauri wako ofisini kwa waliokusomesha mkuu?
 
Mbinu hizi zimefail, Asipo sema alivyofanya ataaminika vipi kuwa anaweza kufanya anayo ahidi? Huyu ni Rais anaye ahidi na akatenda pasi shaka yeyote. Leo ni moja ya siku ambayo JPM kafanya kampeni kama yuleyule wa siku zote.

Hizi propoganda za kutaka kumbadilisha awe laini laini zikataliwe haswa. He is a No Soft President. Ndio Trade Mark yake hiyo. Genge la maadui wa Taifa wanataka wamuhujumu kwa kumchomekea mambo ambayo si yake.
 
Kuna haja ya kusema zaidi na zaidi
 
Atasema nn huku miaka mitano amevurunda balaaa
 
Mkuu hawa ni Vilaza sana wamechanganyikiwa mpaka wanapoteana nimecheka sana lisu kamatia hapohapo
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu,mmeteseka kwa kukandamizwa stahiki zenu kwa muda mrefu sanaa.Miaka 5 mmekuwa kituko mtaani maisha yenu.
 
Mgombea wako chalii hoi bin tabani. Amebaki kusubiri Kudra za NEC tu. Amabazo nazo zimeshashindwa.

Wangecheza vizuri kuzuia Lissu asigombee......ilikuwa mistake kubwa sana kwa maccm.
Wasingeweza mpango wa Mungu ulikuwa hauzuiliki
 
We bwege unafuatilia kampeni za JPM? Husikii ahadi za nini atafanya? Husikii habari za kununua ndege zingine tano na kukamilisha Sgr,we bwege sana.
Safi sana! Naona mmeanza kuparurana wenyewe kwa wenyewe
 
Usitupangie. Nyie ndio wale mafisadi na wenye vyeti feki mliobanwa na awamu ya 5.

Mgombea wetu ataendelea na kampeni hivihivi kwa kuelezea miradi ya ujenzi na ununuzi wa ndege nyingine 5.

Wewe unatumika na mabeberu na usitupangie.
Mmepoteana wazee wa lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…