PostGE2025 Ninamuunga mkono Jimmy Mafufu kuwa hakuna sababu ya wasanii kuomba msamaha kwa yeyote kwa sababu hakuna walipokosea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
21,387
Reaction score
44,030
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.

Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.

Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea kusimama na msimamo wao huo na hawatatoa msamaha kwa jambo ambalo wanaamini halikuwa makosa.

Wananchi hawataki kuomba msamaha kwa kuharibu mali za wananchi na umma ila wanataka kuombwa msamaha.

Wanajihesabia haki dhidi ya wengine.
 
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.

Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.

Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea kusimama na msimamo wao huo na hawatatoa msamaha kwa jambo ambalo wanaamini halikuwa makosa.

Hakuna kuomba msamaha. Usanii wa muziki au sinema ni kazi kama wengine walivyo ajiriwa Polisi, Hospitali, Shule. Au ni kama biashara ya duka, taxi, genge au nyumba.

Kama wasanii wanalazimika kuomba msamaha basi kila mtanzania mwenye umri wa miaka 18 na ana ingiza kipato aombe msamaha.

ACHENI huu ujinga wa kupangiwa maisha na mbwege wa CHADEMA au na wanaharakati walio nje ya nchi kama Maria Sarungi au MangeKimambi. Hakuna chochote wanachowasaidia katika kutengeneza muziki wenu
 
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.

Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.

Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea kusimama na msimamo wao huo na hawatatoa msamaha kwa jambo ambalo wanaamini halikuwa makosa.

Ajasema chochote kuhusu vijana wetu, watoto wetu. ndugu zetu wengi waliuwawa nyumbani kwao au wakirudi nyumbani.
 
Wewe ni muuaji
 
Hakuna kuomba msamaha. Usanii wa muziki au sinema ni kazi kama wengine walivyo ajiriwa Polisi, Hospitali, Shule. Au ni kama biashara ya duka, taxi, genge au nyumba.

Kama wasanii wanalazimika kuomba msamaha basi kila mtamzania mwenye umri wa miaka 18 na ana ingiza kipato aombe msamaha.

ACHENI huu ujinga wa kupangiwa maisha na mbwege wa CHADEMA au na wanaharakati walio nje ya nchi kama Maria Sarungi au MangeKimambi. Hakuna chochote wanachowasaidia katika kutengeneza muziki wenu
Kwahiyo wananchi wanaokusudiwa hapo ni wanachadema au hadi ccm pia?
 
Ajasema chochote kuhusu vijana wetu, watoto wetu. ndugu zetu wengi waliuwawa nyumbani kwao au wakirudi nyumbani.
Wanajua wanachofanya inaweza kuwa wanatafuta attention tu au hawaelewi tatizo lao ni lipi na kudhani shida ni wao kuwa ccm, wakati wananchi mbona walikuwa wakiwasapoti pamoja na wao wakiwa ni ccm. Sasa hivi haieleweki hao wananchi wanaowasema ni chadema tu au pamoja na ccm wenzao nao pia wanataka kuombwa msamaha?
 
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.

Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.

Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea kusimama na msimamo wao huo na hawatatoa msamaha kwa jambo ambalo wanaamini halikuwa makosa.

Mapunga mnaongezeka kwa kasi sana
 
Waache kutafuta kiki hakuna aliye na time nao iwe waombe wasiombe
 
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.

Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.

Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea kusimama na msimamo wao huo na hawatatoa msamaha kwa jambo ambalo wanaamini halikuwa makosa.

Hata chukua chako mapema bila shaka hawastahili kumwomba yeyote msamaha kwa alipotufikisha sawa na hao au siyo?
 
Kwani tumewataka mtuombe msamaha? Sisi tuliobaki tunapenda mziki wa Gospel na Kaswida.
Wale wa bongo fleva walikufa 29 oct
 
Back
Top Bottom