PostGE2025 Ninamuunga mkono Jimmy Mafufu kuwa hakuna sababu ya wasanii kuomba msamaha kwa yeyote kwa sababu hakuna walipokosea

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sisi wananzengo tusha move on kila mtu akae kwenye line yake
 
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.

Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.

Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea kusimama na msimamo wao huo na hawatatoa msamaha kwa jambo ambalo wanaamini halikuwa makosa.

Utaacha vipi kumuunga mkono bwana yako anayekusukumia nyama!
 
Hakuna kuomba msamaha. Usanii wa muziki au sinema ni kazi kama wengine walivyo ajiriwa Polisi, Hospitali, Shule. Au ni kama biashara ya duka, taxi, genge au nyumba.

Kama wasanii wanalazimika kuomba msamaha basi kila mtamzania mwenye umri wa miaka 18 na ana ingiza kipato aombe msamaha.

ACHENI huu ujinga wa kupangiwa maisha na mbwege wa CHADEMA au na wanaharakati walio nje ya nchi kama Maria Sarungi au MangeKimambi. Hakuna chochote wanachowasaidia katika kutengeneza muziki wenu
Muziki ananunua nani? 😀
 
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.

Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.

Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea kusimama na msimamo wao huo na hawatatoa msamaha kwa jambo ambalo wanaamini halikuwa makosa.

Akamatwe apakwe mafuta mengi matako mpaka ameremete
 
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.

Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.

Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea kusimama na msimamo wao huo na hawatatoa msamaha kwa jambo ambalo wanaamini halikuwa makosa.

Mwambieni ajue kabisa Steve mengele hajapensezwa na matamko yake... Aiingilie sekta ya mwenzake
 
Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.
Huyu pimbi angeenda kumwambia MAJIZO na wenzie maana hakuna mwananchi aliyesema anataka kuombwa msamaha
 
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.

Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.

Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea kusimama na msimamo wao huo na hawatatoa msamaha kwa jambo ambalo wanaamini halikuwa makosa.

Ok mda mwalimu , yule hujitupae kwenye jukwaa kama mbuzi wa kafara , yuko wapi ,imekula kwao
 
Sawa. Njaa ikikolea kila mmoja atarudi kwenye kazi yake ya asili.
 
Majizo mfanyabiashara. Ana uzoefu na biashara. Kapiga hesabu kaona anaenda kuingia hasara, kajitokeza kutuliza mambo haya mambugira yaliyofeli darasa la saba yanaona analeta shobo.

Muda utazungumza.
 
Hakuna kuomba msamaha. Usanii wa muziki au sinema ni kazi kama wengine walivyo ajiriwa Polisi, Hospitali, Shule. Au ni kama biashara ya duka, taxi, genge au nyumba.

Kama wasanii wanalazimika kuomba msamaha basi kila mtamzania mwenye umri wa miaka 18 na ana ingiza kipato aombe msamaha.

ACHENI huu ujinga wa kupangiwa maisha na mbwege wa CHADEMA au na wanaharakati walio nje ya nchi kama Maria Sarungi au MangeKimambi. Hakuna chochote wanachowasaidia katika kutengeneza muziki wenu
Ni mwananchi gani amewaambia wasanii waombe msamaha? Sijasikia popote..ni wao na kiherehere chao cha kutaka kuomba msamaha, wanajishtukia.
 
Hawa wasanii wengi wana bipolar kwa kuzingatia hata namna ya uwasilishaji wa maoni yake. Kuongea kwa kufokafoka bila kuelewa nini mantiki ni upuuzi sana.

Kwa ninanavyoelewa mimi hili sakata halipo kuwalaumu wasanii kusapoti kazi CCM. Wananchi wanacholalamika ni kuufyata pale ambapo serikali yao imeua wananchi wakati ikiingia madarakani. Wao hawakupaswa kukaa kimya walipaswa kusema neno kukemea, kulaani na hata kutoa pole kwa wafiwa. Sasa huu ukimya ndio umeibua hasira ya raia kwao na kuona hawa wasanii hawako pamoja nao.

Sasa jamaa linaongea mate yanamtoka tu.
 
Yote niliyotaka kuandika tayari kayasema komredi Jimmy Mafufu.

Msanii wa filamu Jimmy Mafufu ameibuka na kukanusha kuomba radhi, akisisitiza kuwa hawakufanya kosa lolote linalohitaji kuombwa msamaha.

Amesema kuwa hata kama wananchi wataamua kutoendelea kununua kazi zao, bado wao wataendelea kusimama na msimamo wao huo na hawatatoa msamaha kwa jambo ambalo wanaamini halikuwa makosa.

Nani amewataka kuomba msamaha?
 
Birds of a feather flock together.

Mmekutana Wote mwajiri wenu ni mmoja ,Abdul.
 
Acha kununua wewe na hao CHADEMA wenu, bado kuna watu wakutosha tu watanunua
Wewe kila mtu akitoa hoja unakimbilia CHADEMA, bila shaka umeadhirika na hicho chama, sio wote tunapenda vyama, punguza muhemko :ABDULpls:
 
Back
Top Bottom