Kigera Kwetu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,566
- 1,403
Muziki wananunua wanaoupenda. CHADEMA inahusika vipi na muziki.Mngekuwa mnanunua muziki wasanii wanaounga mkono CHADEMA wangekuwa matajiri.

Muziki wananunua wanaoupenda. CHADEMA inahusika vipi na muziki.Mngekuwa mnanunua muziki wasanii wanaounga mkono CHADEMA wangekuwa matajiri.

Unajua wasanii hawajui kosa,ukimsikiliza mfano alikiba yeye anajua kosa lao ni kuwa ccm!Wanajua wanachofanya inaweza kuwa wanatafuta attention tu au hawaelewi tatizo lao ni lipi na kudhani shida ni wao kuwa ccm, wakati wananchi mbona walikuwa wakiwasapoti pamoja na wao wakiwa ni ccm. Sasa hivi haieleweki hao wananchi wanaowasema ni chadema tu au pamoja na ccm wenzao nao pia wanataka kuombwa msamaha?
Wasanii wa hovyo sana hawa ndio maana kutwa kujisifu wana hela sana ila wakiumwa ndio wanaumbuka na kibaya hata kusaidiana wao kwa wao tu hawasaidiani.Unajua wasanii hawajui kosa,ukimsikiliza mfano alikiba yeye anajua kosa lao ni kuwa ccm!
Ila kosa lao ni kutokutia neno kwa yaliyotokea 29