Ninamzidishia baba 500K kila nikitoa hela

Upo sahihi unakosea sehemu ndogo, unatakiwa iyo milioni moja yote umpe baba mkiwa chemba., mama asijue kabisa kama kuna hata senti moja ambaoyo umempa baba.
 
hata haukosei mwaya maana ile ya mama ni yake na ile ya baba itatumika nyumbani so ile unayomuongezea inakua yake tu

ila hela zote hizo unatoa wapi mwenzetu ni freemason au πŸ˜‚
Watu kweli tumetofautiana, yaani 1.5m tu Kwa mzazi ndio mnasema hela yote hiyo?
 
sasa kwani ni ndogo?

naomba 10k basi😊

sasa kwani ni ndogo?

naomba 10k basi😊
1.5m si hela ndogo lakini si pesa ya kulalamikia kama unampa mzazi ukimtembelea. Na isitoshe inategemea hao wazazi unawatembelea mara ngapi Kwa mwaka.
Ila ni fedha kubwa kumpa usiemjua au Malaya. I think that is understandable?!
 
Upo sahihi
 
unadhani hata tunawaza udogo basi au ukubwa ? kila mtu anatamani hata awe anatoa 20m au hata na zaidi kwa mzazi wake kila mwezi au pengine kila wiki

with this economy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ambayo hela ngumu na ukiishika haitoshi ndo maaana umeona wengi tumeuliza like hela yote hiyo anatoa wapi

mengine ni blabla za Jf 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…