mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
- Thread starter
- #81
😂😂😂 hivi Bichwa Komwe- unatumia pombe?Kwenye hiyo 500k kata 200k umtumie BICHWA KOMWE kwenye akaunti yake ya MPESA 07654370888
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 hivi Bichwa Komwe- unatumia pombe?Kwenye hiyo 500k kata 200k umtumie BICHWA KOMWE kwenye akaunti yake ya MPESA 07654370888
Na Mama pia mzidishieKwema ndugu?
Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu.
Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea.
Wakati wa kuondoka ulipokaribia, nilimuita baba chemba nikamtoa 500k kibingwa. Nikamuambia weka mfukoni, ni ya vocha mzee!
Huu ni utaratibu wangu karibu mara zote ninapotembelea nyumbani, au ninapotoa fedha kwa wazee inapobidi.
Sababu hasa ni kwamba naamini ile 500k nyingine ataitumia kutoa mahitaji na yeye hatobakiwa na kitu.
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
Akimpa hayo ni yake sasa, hayanihusu.We zidisha hata mara kumi ukiondoka anampa mke wake zote....
Upo sawaKwema ndugu?
Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu.
Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea.
Wakati wa kuondoka ulipokaribia, nilimuita baba chemba nikamtoa 500k kibingwa. Nikamuambia weka mfukoni, ni ya vocha mzee!
Huu ni utaratibu wangu karibu mara zote ninapotembelea nyumbani, au ninapotoa fedha kwa wazee inapobidi.
Sababu hasa ni kwamba naamini ile 500k nyingine ataitumia kutoa mahitaji na yeye hatobakiwa na kitu.
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
500k= 500×1000=500,000. Nadhani umeshaona hapo mjinga ni nani!Nadhani mwenye Uzi haelewi maana K(thousands)
Kapime dna kama kweli dady wako
Advs
Ukete majibu tuanze kukushauri
Bora hivyo. Tatizo madingi wengine miyeyusho kinyama. Siku nilipojua katika huu umri wangu wa miaka zaidi ya 35 kuwa nina mdogo wangu wa mwaka mmoja na nusu toka kwa mama mwingine nikaamua kuweka vikwazo vya kiuchumi kimyakimya kwa mshua. Abebe msalaba wake. Mama ataendelea kufaidi jasho langu bila vikwazo.We zidisha hata mara kumi ukiondoka anampa mke wake zote....
Maisha kweli tunatofautiana mkongwe 1.5M kila mwezi, hapo we hujala na familia yako unazungumzia milioni nyingine, usafiri wa kazini, nauli za watoto shule, ma mtu huduma zake nyingine na vitu vidogovidogo, hizo ni huduma za costant, bado ada za shule, ukweni hakujatokea dharura, misiba kwa jamaa, marafiki... Ichango ya harusi, service ya usafiri.
Nishakula dona na dagaa langu kurusungu hapa, naperuzi JF nawatizama madigala, madon..
Mishani hatuwezi kuwa sawa.
Na Mama pia mzidishie
Sawa, ni sahihi kumzidishia mzee, lakini haswa kama mzee unaona mambo yake yananyooka na pesa yake inatumika home, ila kama mzee ana mambo mengi, wamama kibao pembeni, mama yangu hata kitenge hamnunulii, hapo ni vema umpe mpunga wa maana bimkubwa na mzee umpelekee bunda la sigara, suruali na mashati.Ungejua nilivyo choka mbaya... Unafikiri hiyo 500k natoa kila mwezi basi...
🤣🤣🤣 kweli african families hazina mpangilio, hapo utakuta mtoto wako wa miaka 10 ana huyo baba ake mdogo wa mwaka na nusu, nacheka kama mazuri....Bora hivyo. Tatizo madingi wengine miyeyusho kinyama. Siku nilipojua katika huu umri wangu wa miaka zaidi ya 35 kuwa nina mdogo wangu wa mwaka mmoja na nusu toka kwa mama mwingine nikaamua kuweka vikwazo vya kiuchumi kimyakimya kwa mshua. Abebe msalaba wake. Mama ataendelea kufaidi jasho langu bila vikwazo.
Acha tu ndugu yangu. Kina mama wengi ni wavumilivu na wanakutana na majaribu mengi. Kina baba tunawavuruga haswa.🤣🤣🤣 kweli african families hazina mpangilio, hapo utakuta mtoto wako wa miaka 10 ana huyo baba ake mdogo wa mwaka na nusu, nacheka kama mazuri....
Mzee age si itakua imesogea sana, huyo jr inabidi nyie msomesheAcha tu ndugu yangu. Kina mama wengi ni wavumilivu na wanakutana na majaribu mengi. Kina baba tunawavuruga haswa.
Kama ni kweliNi kopi kabisa. Huulizi mara mbili. Huo ni ushahidi tosha. Ni kama Ridhiwani na Jakaya!
Mzee wa miaka 66. Noma sana. Mjukuu wa kwanza ana miaka 22Mzee age si itakua imesogea sana, huyo jr inabidi nyie msomeshe
Mama mdogo anataka urithi kwa lazma 😃Mzee wa miaka 66. Noma sana. Mjukuu wa kwanza ana miaka 22