Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wengine tuko hapa tukiombwa 10,000 tunaanza kujieleza
Huo ni ubaguzi na badae itakughalimu hasa pale mama atakapojua kuwa baba anapsta zaid
Dhambi zako zimefutwa labda uanze kutenda zingine. Aaamen!Kwema ndugu?
Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu.
Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea.
Wakati wa kuondoka ulipokaribia, nilimuita baba chemba nikamtoa 500k kibingwa. Nikamuambia weka mfukoni, ni ya vocha mzee!
Huu ni utaratibu wangu karibu mara zote ninapotembelea nyumbani, au ninapotoa fedha kwa wazee inapobidi.
Sababu hasa ni kwamba naamini ile 500k nyingine ataitumia kutoa mahitaji na yeye hatobakiwa na kitu.
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
Huyu peponi moja kwa mojaDhambi zako zimefutwa labda uanze kutenda zingine. Aaamen!
Kabisa.Hizo ndizo akili njema sasa.Huyu peponi moja kwa moja
Upo sahihi 500k uliyompa ni inaenda kwa Mama tena atakua na mara 2 alafu hio 500k unayomuongeza ndio ya kwake Ila utakuta nayo sasa ndio inakua ya matumizi wakati huo kashampa 500k Mama yako hapo ni akili kichwani,.Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
Mama anachukua kwa Baba ipo hivyo mfano mdogo kuna familia Baba ndio provider Mama Pesa yake sio kwa ajili ya matumizi ya familia hata kidogo Ila Pesa yake kwa ajili ya matumizi mengine hata akiumwa bills zote za matibabu anatoa Baba hata km Mama Pesa anayo Ila hatotoa sababu Pesa zake sio kwa ajili ya matumizi hayo Ila Baba ndio Mlinzi namba 1 na msimamizi wa Familia, majestically Baba ndio Mfalme wa Familia akiwa kinyume chake falme lazima ianguke na kuparaganyika kabisa, kwa hio Mama anapokea Baba kazi yake ni kutoa sasa hapo uzani lazima uelemee upande mmoja kwa hio kutokana na hilo mmoja mwenye kutoa lazima umjazie minyama maana Ile minyama yote hatokaa nayo lazima ataitoa kwa wengine katika hili na lile, sio ubaguzi Ila ndio nature ilivyoHuo ni ubaguzi na badae itakughalimu hasa pale mama atakapojua kuwa baba anapsta zaid
Nimejifunza kitu.. hii nzuriKwema ndugu?
Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu.
Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea.
Wakati wa kuondoka ulipokaribia, nilimuita baba chemba nikamtoa 500k kibingwa. Nikamuambia weka mfukoni, ni ya vocha mzee!
Huu ni utaratibu wangu karibu mara zote ninapotembelea nyumbani, au ninapotoa fedha kwa wazee inapobidi.
Sababu hasa ni kwamba naamini ile 500k nyingine ataitumia kutoa mahitaji na yeye hatobakiwa na kitu.
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
Sio kweli huu ni upotoshajiSiku ukikosa ya kumpa pembeni lazima akuwakie kuwa unampa mama yako, na siku ukikosa kabisa atalaumiwa mkeo.
Ikiisha huyo miatano atatumia ile uliyompa kifupi mwanaume ni majukumu hafaidi chochoteKwema ndugu?
Naomba mawazo yenu. Mimi mara nyingi kama siyo mara zote, ninaposaidia nyumbani kwa chochote hususani fedha, huwa nazidisha mara mbili kwa mzee wangu.
Juzi hapa nilikwenda kuwaona, nikatoa 500k kwa mama na 500k kwa baba. Stori zikaendelea.
Wakati wa kuondoka ulipokaribia, nilimuita baba chemba nikamtoa 500k kibingwa. Nikamuambia weka mfukoni, ni ya vocha mzee!
Huu ni utaratibu wangu karibu mara zote ninapotembelea nyumbani, au ninapotoa fedha kwa wazee inapobidi.
Sababu hasa ni kwamba naamini ile 500k nyingine ataitumia kutoa mahitaji na yeye hatobakiwa na kitu.
Nakosea kwa hili?
Naomba maoni yenu ndugu zangu.
Wala sipotoshi, mie wazazi walivyotulea tulikuwa tunawapa wote na anakabidhiwa baba hata kama umenunua nguo ya mama anakabidhiwa baba yeye ndiye anampa mkewe.Sio kweli huu ni upotoshaji
Hizo familia za kiswahili hizo, mama hawezi ficha pesa kisa matumizi yake watoto walale njaa? Kwanza Mzee kama hakuna kitu anamuuliza mkewe vipi huko huna akiba mama anatoa, ila siwezi wasemea wengineMama anachukua kwa Baba ipo hivyo mfano mdogo kuna familia Baba ndio provider Mama Pesa yake sio kwa ajili ya matumizi ya familia hata kidogo Ila Pesa yake kwa ajili ya matumizi mengine hata akiumwa bills zote za matibabu anatoa Baba hata km Mama Pesa anayo Ila hatotoa sababu Pesa zake sio kwa ajili ya matumizi hayo Ila Baba ndio Mlinzi namba 1 na msimamizi wa Familia, majestically Baba ndio Mfalme wa Familia akiwa kinyume chake falme lazima ianguke na kuparaganyika kabisa, kwa hio Mama anapokea Baba kazi yake ni kutoa sasa hapo uzani lazima uelemee upande mmoja kwa hio kutokana na hilo mmoja mwenye kutoa lazima umjazie minyama maana Ile minyama yote hatokaa nayo lazima ataitoa kwa wengine katika hili na lile, sio ubaguzi Ila ndio nature ilivyo