Ninani basi aliyewaambia wabongo pilau lazima ipikwe siku ya sikukuu?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Ukifa halafu ukafufuka na ukakuta Kuna pilau basi akili itakutuma kuwa Leo Kuna sikukuu au sherehe Fulani kubwa.

Ukipiga mahitaji ya pilau na ya wali hakika ongezeko lake halizidi buku2-3 Hivi.

Zaidi ya yote kwenye biblia sijawahi ona kama imeandikwa kuwa kwenye sikukuu pikeni pilau.

Kule Kwa wenzetu wao huita Cha mtume labda imeandikwa Sina hakika.

Leo ni mwaka mpya hapa home Nina madogo karibia Watoto wote wa majirani Huwa wanacheza karibu na nyumba yangu na Leo walikuwa wanatambiana kuwa wamepika pilau na nyama ya kuku mwingine akasema wao pilau na maini kia mtoto alimtambia mwenzake kile kilichopikwa na dhahiri pilau ilitajwa.

Nimejiuliza siku nyingi Kuna ulazima Gani wa pilau kupikwa siku ya sikukuu tu. Pilau Ina maajabu gani Hadi iwe special kiasi hiki?

Wanawake naombeni majawabu maana hata kwangu Kila sikukuu lazima pilau iwepo licha ya kuwa Mimi sio mshabiki wa chakula hiki.

Hata humu jf 96% watu wamekula pilau ama majirani zao wamekula pilau.

Ebu Leo niambieni upekee wa pilau wakuu.

IMG_20220503_161910_634.jpg
 
View attachment 3190042
tuwe tunaribishana basi sio kwa kututia majaribuni

Sikukuu mwenzake pilau, huwezi sema sikukuu halafu pilau hamna hiyo sio siku kuu, kwenye Bibilia hamna pilau ila sikukuu walikula nyama ya kuchoma na mikate ndio kulikuwa chakula chao maalumu siku ya sikukuu
 
Back
Top Bottom