Ninaogopa kutongoza, nahofia kukataliwa

Ninaogopa kutongoza, nahofia kukataliwa

Enock gabriel

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
348
Reaction score
321
.
 

Attachments

  • 1619596718664.png
    1619596718664.png
    496.4 KB · Views: 147
Kwenye kutongoza kukataliwa ni sehemu ya matokeo kama ilivyo mpira, huwezi kukubaliwa na wote lakini pia huwezi kukataliwa na wote. cha muhimu jiamini jinsi ulivyo. changamoto kama hizi ni vijana wadogo wa miaka 15-16 ndo wwnapitia tena kipindi icho.

Kingine kama unafanya masturbation acha mara moja, hii inapunguzaga uwezo wa kujiamini.

Kila la kheri kaka
 
Ni tatizo na niache haraka? Mimi ni mwanaume nina 23 mpaka sasa. Shida ni kuwa naogopa kutongoza nahofia kukataliwa yaani nahisi nitachanganyikiwa siku nikikataliwa. Napenda sana tu mademu ila nahofia hicho kitu, pia ni rijali! Naogopa sana kukataliwa sijui hata nifanyeje!
Sio tatizo ni sehemu ya makuzi

 
Sio tatizo ni sehemu ya makuzi

Uzi mzuri kiongozi
 
Mkuu una tatizo kubwa, yaaani unaogopa kukataliwa na mwanamke, hebu jiamini sio kila unayempenda na yeye atakupenda. Wasilisha wazo lako kwa ulaini na kwa kubembeleza, na usitake upate jibu hapo hapo, mpe mda na utulie. Kumbuka adui yako mkubwa ni kuogopa kukataliwa sio tu kwenye mapenzi na sehemu yoyote.
 
Kukataliwa kupo tu mzee, we tongoza for your level best yupo atakaye kuja kukuelewa, na ili upate demi lazima utongoze

Ni kama kwenye football ili ufunge lazima upige golini bila kujali utakosa au utapata
 
Napenda sana tu mademu ila nahofia hicho kitu, pia ni rijali! Naogopa sana kukataliwa sijui hata nifanyeje!

Mkuu futa hio kauli,, siku utakapotongoza ndio ujiite hivo... hakuna Rijali asiyetongoza.

Hio hali yako mtaani wanaita Domo ZeGe,, acha nyeto na jipe ujasiri.

Alisikika muuza alkasusi akiropoka.
 
Ni tatizo na niache haraka?

Mimi ni mwanaume nina 23 mpaka sasa. Shida ni kuwa naogopa kutongoza nahofia kukataliwa yaani nahisi nitachanganyikiwa siku nikikataliwa.

Napenda sana tu mademu ila nahofia hicho kitu, pia ni rijali! Naogopa sana kukataliwa sijui hata nifanyeje!

View attachment 1766296


Zaidi soma:
Kama una hela wala hautongozi...unawabia tu pamoja na dau
 
Bro usiogope kukataliwa hata siku moja katika maisha yako coz ukiwa na hyo mentality utaendelea kushindwa kufanya maamuzi kwa kuogopa kukataliwa, Afu ngoja nikwambie siri Mademu wanapenda kutongozwa zaidi ya kula ndugu yangu, So usiogope kuwapa kitu wanachopenda coz siku zote ukimpa mtu ki2 anachokipenda atakuappreciate japo kua sio wote watakao kuappreciate.

Basi we fanya kutongoza watakao kuappreciate watakubali na utakula Kei lakini watakao kataa kutoa appreciation ya kutongozwa bro Tenda wema Nenda Zako Full stop. Hope ntakua nimekusaidia kidogo kama ukiliweka hili akilini
 
Mkuu kuwa spesific hapa shida ni itakua kipato aisee maana kama huna hata ishirini elfu ambayo hutojuta kuitumia mkupuo ni ngumu kutongoza
 
Ai
Ni tatizo na niache haraka?

Mimi ni mwanaume nina 23 mpaka sasa. Shida ni kuwa naogopa kutongoza nahofia kukataliwa yaani nahisi nitachanganyikiwa siku nikikataliwa.

Napenda sana tu mademu ila nahofia hicho kitu, pia ni rijali! Naogopa sana kukataliwa sijui hata nifanyeje!

View attachment 1766296


Zaidi soma:
Aisee
 
Back
Top Bottom