Ninaogopa kutongoza, nahofia kukataliwa

Ninaogopa kutongoza, nahofia kukataliwa

Unatongoza ili iweje...?
1. Unataka tu mwanamke wa kusex naye?
2. Unataka upate mchumba then umuoe?
3. Unataka girfriend?

Katika hayo yote kuna utofauti wa namna ya kutongoza na hata ukikataliwa effects zake ni tofauti...
 
Ukikataliwa ndio inakujenga kujiamini zaidi mbele ya wanawake.Huko mbele utakua unateleza tu
 
Mkuu una tatizo kubwa, yaaani unaogopa kukataliwa na mwanamke, hebu jiamini sio kila unayempenda na yeye atakupenda. Wasilisha wazo lako kwa ulaini na kwa kubembeleza, na usitake upate jibu hapo hapo, mpe mda na utulie. Kumbuka adui yako mkubwa ni kuogopa kukataliwa sio tu kwenye mapenzi na sehemu yoyote.
Mlioshindwa mnatia watu moyooo
 
Ni tatizo na niache haraka?

Mimi ni mwanaume nina 23 mpaka sasa. Shida ni kuwa naogopa kutongoza nahofia kukataliwa yaani nahisi nitachanganyikiwa siku nikikataliwa.

Napenda sana tu mademu ila nahofia hicho kitu, pia ni rijali! Naogopa sana kukataliwa sijui hata nifanyeje!

View attachment 1766296


Zaidi soma:
Tengeneza mazingira yawewe kutongozwa
 
Mkuu kuwa spesific hapa shida ni itakua kipato aisee maana kama huna hata ishirini elfu ambayo hutojuta kuitumia mkupuo ni ngumu kutongoza
23 yupo chuo aisee acha kuwapanga watu wawe na stress kama mtu hataki kuliwa acha aende akakiuze huko.
Kuna watu wanataka maisha. Sio kuuza
 
Kwani ulikataliwa inakuathiri vipi!? Unakufa? Unapata na majeraha makubwa mwilini mwako? Hebu acha uoga CHAKARIKA wakupe utamu!!
Ni tatizo na niache haraka?

Mimi ni mwanaume nina 23 mpaka sasa. Shida ni kuwa naogopa kutongoza nahofia kukataliwa yaani nahisi nitachanganyikiwa siku nikikataliwa.

Napenda sana tu mademu ila nahofia hicho kitu, pia ni rijali! Naogopa sana kukataliwa sijui hata nifanyeje!

View attachment 1766296


Zaidi soma:
 
Back
Top Bottom