Ninaogopa kutongoza, nahofia kukataliwa

Unatongoza ili iweje...?
1. Unataka tu mwanamke wa kusex naye?
2. Unataka upate mchumba then umuoe?
3. Unataka girfriend?

Katika hayo yote kuna utofauti wa namna ya kutongoza na hata ukikataliwa effects zake ni tofauti...
 
Ukikataliwa ndio inakujenga kujiamini zaidi mbele ya wanawake.Huko mbele utakua unateleza tu
 
Mlioshindwa mnatia watu moyooo
 
Tengeneza mazingira yawewe kutongozwa
 
Mkuu kuwa spesific hapa shida ni itakua kipato aisee maana kama huna hata ishirini elfu ambayo hutojuta kuitumia mkupuo ni ngumu kutongoza
23 yupo chuo aisee acha kuwapanga watu wawe na stress kama mtu hataki kuliwa acha aende akakiuze huko.
Kuna watu wanataka maisha. Sio kuuza
 
Kwani ulikataliwa inakuathiri vipi!? Unakufa? Unapata na majeraha makubwa mwilini mwako? Hebu acha uoga CHAKARIKA wakupe utamu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…