Ninaomba Jukwaa letu la JamiiForums liwahoji Viongozi wakuu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao; kwa haya Yanayoendelea nchini mwetu

Wewe tu ya Mdude ikikupwaya utasema tukutafutie yenye kukukolea vizuri.ku inye- CCM yako: Kujifuta muhimu kama ma.vi yametoka, ili kazi iendelee, vinginevyo utakoswa wateja kwa uchafu na utaondolewa kwenye Lumumba Payroll.
Nyie wafuasi wa chadema nan anayewafundisha matusi?
 
Kwenye masuala ya mtandao hiyo sheria kuna wakati inatumika vibaya kama fimbo ya kuwatia adabu wakosoaji wa serikali na ndio maana wengi wanatetewa.
Msaada wa kisheria ni haki ya kila mtuhumiwa mkuu.
Kama yupi kaonewa kwa ssheria hio?sativa au ?maana wote waliokamatwa kwa kosa ilo kweli wamefanya ila tulivo wajinga tunatetea uovu afu tunataka serikali itende haki wakati cc haki hatutaki
 
Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.

1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk

2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye profile zao, je, Kwao Kama Viongozi wakuu wa chama wanaona halali? Au wanawatuma?

3. Kwanini mtu yoyote ambaye amehukumiwa kama mhalifu wa makosa ya kimtandao (cybercrimes act, 2015) wanamfanya Kama mwanachama wao wa CHADEMA badala ya kumtenga na kumkataa je! Hii ni sawa?

4. Je, Sisi Kama Wananchi Tutatofautishaje Kati ya uhalifu indiscipline cases na CHADEMA? Kwasababu kila mhalifu nchini kwenu nyie CHADEMA kwao ni mtu Safi. Hii hapana!

NB; Viongozi wakuu wa CHADEMA mjitafakari na mchukue hutua kwa hayo niliyoyaorodhesha hapo juu maana wanachama wenu wanaleta picha mbaya kwa jamii.
Vipi yule kada wa CCM ambaye gari yake ilikamatwa ikiwa Ina WAHAMIAJI HARAMU huku inapeperusha bendera ya ccm, unalizungumziaje hilo??
 
Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.

1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk

2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye profile zao, je, Kwao Kama Viongozi wakuu wa chama wanaona halali? Au wanawatuma?

3. Kwanini mtu yoyote ambaye amehukumiwa kama mhalifu wa makosa ya kimtandao (cybercrimes act, 2015) wanamfanya Kama mwanachama wao wa CHADEMA badala ya kumtenga na kumkataa je! Hii ni sawa?

4. Je, Sisi Kama Wananchi Tutatofautishaje Kati ya uhalifu indiscipline cases na CHADEMA? Kwasababu kila mhalifu nchini kwenu nyie CHADEMA kwao ni mtu Safi. Hii hapana!

NB; Viongozi wakuu wa CHADEMA mjitafakari na mchukue hutua kwa hayo niliyoyaorodhesha hapo juu maana wanachama wenu wanaleta picha mbaya kwa jamii.
Uache kuhoji majizi na mafisadi mlionao sisiemu wanaofisidi nchi ukawahoji CDM kwani wanaongoza sehemu gani?
 
Kama yupi kaonewa kwa ssheria hio?sativa au ?maana wote waliokamatwa kwa kosa ilo kweli wamefanya ila tulivo wajinga tunatetea uovu afu tunataka serikali itende haki wakati cc haki hatutaki
Kosa lake lipi
 
Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.

1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk

2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye profile zao, je, Kwao Kama Viongozi wakuu wa chama wanaona halali? Au wanawatuma?

3. Kwanini mtu yoyote ambaye amehukumiwa kama mhalifu wa makosa ya kimtandao (cybercrimes act, 2015) wanamfanya Kama mwanachama wao wa CHADEMA badala ya kumtenga na kumkataa je! Hii ni sawa?

4. Je, Sisi Kama Wananchi Tutatofautishaje Kati ya uhalifu indiscipline cases na CHADEMA? Kwasababu kila mhalifu nchini kwenu nyie CHADEMA kwao ni mtu Safi. Hii hapana!

NB; Viongozi wakuu wa CHADEMA mjitafakari na mchukue hutua kwa hayo niliyoyaorodhesha hapo juu maana wanachama wenu wanaleta picha mbaya kwa jamii.
 
Attachments

  • FB_IMG_1722754346415.jpg
    FB_IMG_1722754346415.jpg
    36.4 KB · Views: 2

UWT ifike sehemu muanze kutumia akili
 
Kilaza
 
Weka kapicha ka selfie yako upande wa bega tumbo na ma...lio kidogo yaonekane ili tujadili vizuri.
 
Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.

1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk

2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye profile zao, je, Kwao Kama Viongozi wakuu wa chama wanaona halali? Au wanawatuma?

3. Kwanini mtu yoyote ambaye amehukumiwa kama mhalifu wa makosa ya kimtandao (cybercrimes act, 2015) wanamfanya Kama mwanachama wao wa CHADEMA badala ya kumtenga na kumkataa je! Hii ni sawa?

4. Je, Sisi Kama Wananchi Tutatofautishaje Kati ya uhalifu indiscipline cases na CHADEMA? Kwasababu kila mhalifu nchini kwenu nyie CHADEMA kwao ni mtu Safi. Hii hapana!

NB; Viongozi wakuu wa CHADEMA mjitafakari na mchukue hutua kwa hayo niliyoyaorodhesha hapo juu maana wanachama wenu wanaleta picha mbaya kwa jamii.
Huu upupu wako ungeulekeza kwa Msajili wa vyama,unataka jukwaa hili litumike kama kibaraka wa CCM kupambana na Chadema jambo ambalo baadhi ya moderators wameshalianzisha.
 
Tuanze kwanza na wale wa CCM sababu wama maslahi na nchi yetu.
 
Back
Top Bottom