Bexb
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 715
- 1,619
Habari wakuu.
Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki kwa ajili ya bodaboda.
Nahitaji kujua zile ambazo zina masharti nafuu pasipo dhamana ambazo vijana wengi wamekua wakikosa lakini pia zisizo na mlolongo mrefu sana wa kupata hizo pikipiki. Ukinijulisha mahali ofisi zao zilipo na mawasiliano yao itakua tumesaidia wengi zaidi
Shukrani