Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki

Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki

Hapo bado hujaweka ile laki tatu ya kianzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana bado nasubiri kama anaweza kutokea mwenye mashart nafuu zaidi
Hahaha mjini kweli mipango sio urefu wa maghorofa
 
Hapo bado hujaweka ile laki tatu ya kianzio😂😂😂😂😂 ndio maana bado nasubiri kama anaweza kutokea mwenye mashart nafuu zaidi
Aisee mwenyewe nimepiga hiyo hesabu nikaona ni mlima. Mi naona Bora kujipinda sehemu ambayo kianzio kiwe kikubwa na rejesho liongezeke kidogo lakini jumla isiwe kubwa sana
 
Back
Top Bottom