Ninaomba mnijulishe taasisi mnazozifahamu kuwa zinakopesha pikipiki

Hapo bado hujaweka ile laki tatu ya kianzio[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio maana bado nasubiri kama anaweza kutokea mwenye mashart nafuu zaidi
Hahaha mjini kweli mipango sio urefu wa maghorofa
 
Hapo bado hujaweka ile laki tatu ya kianzio๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ndio maana bado nasubiri kama anaweza kutokea mwenye mashart nafuu zaidi
Aisee mwenyewe nimepiga hiyo hesabu nikaona ni mlima. Mi naona Bora kujipinda sehemu ambayo kianzio kiwe kikubwa na rejesho liongezeke kidogo lakini jumla isiwe kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ