Ninaombeni connection ya kazi - Dar

Ninaombeni connection ya kazi - Dar

Mtoa madaa naweza kusema wewe ni bwege A.K.A Simp.
Kwanza achana na mke wa watu,na uyu mtoto nakuhakikishia sio wako..
 
Kama wewe ni dada hujanielewa vizuri.
Ninaomba upitie tena thread.
Ninafunguaje duka na sina hela? Ninatafuta kazi hata ya saidia fundi nianze upya kujitafuta.
Mkuu si anakuachia kadi yake, unajibana kwa chochote unachopata toka kwake.
 
Mkuu si anakuachia kadi yake, unajibana kwa chochote unachopata toka kwake.
Hata leo mshahara umeingia na aliniachia card yake nifanye manunuzi mbalimbali ya home. Lakini kwangu mimi hii isinifanye niwe mpumbavu wa kutotaka kutafuta kipato changu.
Na wala isinifanye nimuibie au nimdanganye juu ya matumizi ya hela yake ilivyotumika eti kisa nimpige. No!
All I need is to do something ili nipate changu kwa jasho langu.
 
Mtoa madaa naweza kusema wewe ni bwege A.K.A Simp.
Kwanza achana na mke wa watu,na uyu mtoto nakuhakikishia sio wako..
Asante Mkuu. Hujakosea kuniita hivo, huenda nikawa ni bwege kweli.
Nami nakuhakikishia kwa 100% kuwa mtoto ni wangu (usitake tuhame kwenye mada, kwasababu nitaku-prove wrong kwenye hili).
Ungeishia tu hapo kuwa achana na mke wa watu.
 
Hata leo mshahara umeingia na aliniachia card yake nifanye manunuzi mbalimbali ya home. Lakini kwangu mimi hii isinifanye niwe mpumbavu wa kutotaka kutafuta kipato changu.
Na wala isinifanye nimuibie au nimdanganye juu ya matumizi ya hela yake ilivyotumika eti kisa nimpige. No!
All I need is to do something ili nipate changu kwa jasho langu.
Duuh too loyal

Ila mkuu mi sioni sababu ya kumuacha huyo Ke kisa kakucheat, bado sijaona sababu kuntu ambayo wadau wengi wanashauri kua umteme kisa kakucheat.

Nikipata mchongo ntakucheki mwanangu, na kama una namba ya whatsapp share PM au hapa mkuu.
 
Asantee sana Mkuu.
Wengi hawajajua kuwa hio ni short story.
Nina share na wewe WhatsApp number. Umenipa mwanga wa ombi langu lilonifanya niandike haya humu.
Ubarikiwe sana.
 
Ndio maana sitaki kukaa hivi, ninatafuta nijishikize mahali. Angekuwa mwanaume mwingine angeridhika maana ananiachia Card yake ya bank, natoa hela, nafanya manunuzi mbalimbali as a man. Lakini mimi hii ndio siitaki, I want to earn my own.
Kaa nae vizuri muulize kwann alikucheat!?

Msikilize na kama una macho ya rohoni jaribu kudadavua maelezo yake.

Kama alikucheat kwakuwa huna maisha kaka tafuta ela kwelikweli ila kama kalikuja kwakuwa tamaa za mwili, tafadhali mueke pembeni.
 
Mkuu, sitamani kabisa niongee nae tena haya masuala kwasababu nitazidi pokea mambo mapya ambayo yatazidi niviruga.

Kwa sasa acha ni-focus kutafuta kazi yeyote itakayonipatia chochote kitu
 
Sifa ya mwanaume ni kua na pesa iwe kidogo isiwe kidogo, mwanaume hutakiwi kukosa pesa ya vitu kwa ajili ya familia,
Labda kama umepata maradhi huwezi simama.
Yani mtaani ni pagumu kwenye ndoa usiseme pambana tu ufanye hata saidia fundi, ufanye na biashara ambazo hazihitaji mtaji hapo kaa fikilia kuna uwinga, udalali wa nyumba, bodaboda kwa mkataba, na nyingine nyingi.
Tofauti na hivo eeeeeeh.
"Wanaume mmeumbwa mateso kuhangaika".
Kuna kitu kinaitwa depression sijuh kwenye maisha yako umepitia Ila siku ukilogwa utaeleza vizur
 
Back
Top Bottom