Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ale tangawizi at the same time umemwambia asitumie spice foodsAcid reflux. Acha kula maharage, chai, spiced food, soda, kahawa. Kunywa maziwa, tafuna tangawizi na anti acid
Heart burn, inanitesa sana hata mimi. Hata nikinywa pombe kali nateseka sana usiku.Ndugu wapendwa, naomba msaada wa hii inaweza kuwa nini. Ninapata KIUNGULIA kikali kooni pindi ninapokula maharage. Kawaida KIUNGULIA kina kuwa kwenye kifua. Nikiacha kula maharage hali hiyo inatoweka. Ni Ugonjwa gani huo.
Acid reflux. Acha kula maharage, chai, spiced food, soda, kahawa. Kunywa maziwa, tafuna tangawizi na anti acid
Ale tangawizi at the same time umemwambia asitumie spice foods
Acid reflux. Acha kula maharage, chai, spiced food, soda, kahawa. Kunywa maziwa, tafuna tangawizi na anti acid
Ndugu wapendwa, naomba msaada wa hii inaweza kuwa nini. Ninapata KIUNGULIA kikali kooni pindi ninapokula maharage. Kawaida KIUNGULIA kina kuwa kwenye kifua. Nikiacha kula maharage hali hiyo inatoweka. Ni Ugonjwa gani huo.
asante sanaHiyo ndio dalili ya kupata vidonda vya tumbo ndg yetu, chukua tahadhari kwa kupata ushauri sahihi wa daktari.
Yes ni dalili ya ulcers aliesema kansa ya koo anakutisha.asante sana