MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nachukua nafasi kupinga uamuzi wa CHADEMA kumpa nafasi ya kugombea urais wa JMT 2025 spika aliyejiuzuli ndugu Ndugai.
Hili suala halihitaji unabii kwamba CHADEMA wanatamani spika aliyejiuzulu ahamie kwao hata sasa hivi ili wawe na uhakika wa kupata mgombea urais mwenye nguvu 2025.
Hili suala la kuchukua watu wanaotoka CCM na kuwapa nafasi nyeti limekuwa tatizo sugu kutokana na CHADEMA kutokuwa na viongozi wenye sifa za kutosha.
Mimi na wanaCCM wengine tunaopenda kukua kwa demokrasia tunakemea vikali hii tabia ya upinzani kutokuwa na mikakati inayowezesha kupata viongozi bora hasa nyakati za uchaguzi.
Tabia hii inasababisha serikali ya CCM kutokuwa na upinzani imara ili kizidi kuimarika zaidi. Ninawasihi CHADEMA wabadilike.