Ninapinga CHADEMA kumteua Ndugai kuwa Mgombea Urais 2025

Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nachukua nafasi kupinga uamuzi wa CHADEMA kumpa nafasi ya kugombea urais wa JMT 2025 spika aliyejiuzuli ndugu Ndugai.

Hili suala halihitaji unabii kwamba CHADEMA wanatamani spika aliyejiuzulu ahamie kwao hata sasa hivi ili wawe na uhakika wa kupata mgombea urais mwenye nguvu 2025.

Hili suala la kuchukua watu wanaotoka CCM na kuwapa nafasi nyeti limekuwa tatizo sugu kutokana na CHADEMA kutokuwa na viongozi wenye sifa za kutosha.

Mimi na wanaCCM wengine tunaopenda kukua kwa demokrasia tunakemea vikali hii tabia ya upinzani kutokuwa na mikakati inayowezesha kupata viongozi bora hasa nyakati za uchaguzi.

Tabia hii inasababisha serikali ya CCM kutokuwa na upinzani imara ili kizidi kuimarika zaidi. Ninawasihi CHADEMA wabadilike.
Wewe utakuwa una matatizo ya kichwa!
 
Unaota ndoto baada ya kulewa gongo.
Hovyo kabisa...
 
Tundu Antipas lissu,anawafunika wote, kuanzia Mama yenu,na yeyote mtakayemteua,kinachohitajika muache michezo yenu ya kuiba kura
 
Wengi mmetukana lakini ni suala la muda tu... CHADEMA haina wenye sifa za kuwa rais. Wanasiasa wa CHADEMA wenye ushawishi kisiasa wengi wao shule hakuna kichwani halafu wale wenye elimu hawana ushawishi kisiasa. Hii imekuwa changamoto kubwa sana inapofika wakati wa uchaguzi. Kabla ya kuhama CCM tuliona kada wa CHADEMA akiandika makala ndefu kumshawishi Bernard Membe aende CHADEMA. Haitashangaza 2025 kuona Ndugai au Polepole kuwa mgombea urais wa CHADEMA
 
Hivi mfano CDM wakamsimamisha Lisu,
Huko CCM mkaenda na wa kwenu;
Nani hapo ana elimu ya kuunga?
 
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nachukua nafasi kupinga uamuzi wa CHADEMA kumpa nafasi ya kugombea urais wa JMT 2025 spika aliyejiuzuli ndugu Ndugai.

Hili suala halihitaji unabii kwamba CHADEMA wanatamani spika aliyejiuzulu ahamie kwao hata sasa hivi ili wawe na uhakika wa kupata mgombea urais mwenye nguvu 2025.

Hili suala la kuchukua watu wanaotoka CCM na kuwapa nafasi nyeti limekuwa tatizo sugu kutokana na CHADEMA kutokuwa na viongozi wenye sifa za kutosha.

Mimi na wanaCCM wengine tunaopenda kukua kwa demokrasia tunakemea vikali hii tabia ya upinzani kutokuwa na mikakati inayowezesha kupata viongozi bora hasa nyakati za uchaguzi.

Tabia hii inasababisha serikali ya CCM kutokuwa na upinzani imara ili kizidi kuimarika zaidi. Ninawasihi CHADEMA wabadilike.
Wapi chadema wamesema wanamteua Ndugai, embu amka kunywa maji mengi alafu ulale tena
 
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nachukua nafasi kupinga uamuzi wa CHADEMA kumpa nafasi ya kugombea urais wa JMT 2025 spika aliyejiuzuli ndugu Ndugai.

Hili suala halihitaji unabii kwamba CHADEMA wanatamani spika aliyejiuzulu ahamie kwao hata sasa hivi ili wawe na uhakika wa kupata mgombea urais mwenye nguvu 2025.

Hili suala la kuchukua watu wanaotoka CCM na kuwapa nafasi nyeti limekuwa tatizo sugu kutokana na CHADEMA kutokuwa na viongozi wenye sifa za kutosha.

Mimi na wanaCCM wengine tunaopenda kukua kwa demokrasia tunakemea vikali hii tabia ya upinzani kutokuwa na mikakati inayowezesha kupata viongozi bora hasa nyakati za uchaguzi.

Tabia hii inasababisha serikali ya CCM kutokuwa na upinzani imara ili kizidi kuimarika zaidi. Ninawasihi CHADEMA wabadilike.

Ndugai Ana nguvu gani mkuu. Ungesema majaliwa sawa. Kidogo ungeeleweka. Uzuri Majaliwa hana Tamaa. He is just a good man for his position as PM.
 
Mwaka 2013 kama sikosei kuna mdau humu JF alianzisha thread kusema kwamba team El na Mbowe wana vikao vya siri wanavyovifanya, lengo kuu ni kuangalia plan B ya EL kuja Chadema endapo CCM watamkata jina lake ktk uchaguzi wa kura za maoni
Na akasema pamoja na mengineyo ni negotiation ya kuplan 'price' ambayo El atalipa nk nk

Ile thread karibia Page Tatu za mwanzo ilikuwa ni matusi, vijembe, mipasho ya kutoka kwa Wafuasi wa Chadema dhidi ya mleta mada kwamba Chadema haiwezi kuchukua fisadi kuu, chadema imejitosheleza, Chadema haihaingaiki na makapi nk

Ila ilipofika July 29 2015 kila mtu alibaki midomo wazi,
Ile thread siku chache baadae ikaibuliwa na ikageuka lulú vibaya sana, huku ndugu zangu waliokuwa wakimponda mleta mada wakizikana username zao akiwemo member mwenzetu ndugu BAK 😀

Sasa kama ww ni mgeni wa Siasa na matukio yake nchini basi chukua hii kama somo
Lowasa hakuwahi kuwa adui wa Chadema,lakini Ndungai ni adui namba mbili wa Chadema, wa kwanza alikuwa Magufuli. Sasa kusema kuwa Ndungai ndiye mgombea wa Chadema hayo ni matusi na kuitweza Chadema. Thread hii itakaribisha mijadala isiyokuwa na afya na kulifanya JF kama kijiwe cha wavuta bangi.
 
Zamani wakati tunasoma vyuo vya elimu ya juu, ukipewa paper na kuona hakuna swali unalojua, basi unajitungia swali na kulijibu. Kwa hilo unamuonyesha Kwamba umesoma. Mtoa hoja nani kakwambia chadema wanamtaka Ndugai?
 
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nachukua nafasi kupinga uamuzi wa CHADEMA kumpa nafasi ya kugombea urais wa JMT 2025 spika aliyejiuzuli ndugu Ndugai.

Hili suala halihitaji unabii kwamba CHADEMA wanatamani spika aliyejiuzulu ahamie kwao hata sasa hivi ili wawe na uhakika wa kupata mgombea urais mwenye nguvu 2025.

Hili suala la kuchukua watu wanaotoka CCM na kuwapa nafasi nyeti limekuwa tatizo sugu kutokana na CHADEMA kutokuwa na viongozi wenye sifa za kutosha.

Mimi na wanaCCM wengine tunaopenda kukua kwa demokrasia tunakemea vikali hii tabia ya upinzani kutokuwa na mikakati inayowezesha kupata viongozi bora hasa nyakati za uchaguzi.

Tabia hii inasababisha serikali ya CCM kutokuwa na upinzani imara ili kizidi kuimarika zaidi. Ninawasihi CHADEMA wabadilike.
Ndugai hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi
Chadema ina hazina kubwa ya viongozi
 
Usiwastue Wacha wamteue tuu mkuu
 
Unajitekenya unacheka mwenyewe
Aliyekwambia Ndugai anataka kugombea urais nani
 
Kwenye siasa hasa za upande wa Chadema tegemea lolote

Chadema tangu mwaka 2008 mpaka 2015 walizunguka nchi nzima kututajia list ya mafisadi papa, na ndani ya list hiyo alikuwemo Edward Lowassa
Mpaka kwenye website ya chama kuna The List of Shame,, Lowassa ndani

Ila uturn walioipiga 2015 wakampa EL tiketi ya kugombea urais na wakafuta ile list ya mafisadi kwenye website ya chama, ilisabisha nione Chadema kimejaa unafiki, uongo, uzushi, kuchafua chafua status za watu na kikubwa zaidi uchu wa madaraka
Na Ile mahakama ya mafisadi magufuli aliyotaka kuanzisha kwa akili ya lowasa na mafisadi imefikia wapi
 
Tundu Antipas lissu,anawafunika wote, kuanzia Mama yenu,na yeyote mtakayemteua,kinachohitajika muache michezo yenu ya kuiba kura
Kenge ! aache kuiba mayai hivi hivi tu?

1641634071965.png
 
Back
Top Bottom