Ninapinga CHADEMA kumteua Ndugai kuwa Mgombea Urais 2025

Ndugai bado ni spika.
Your browser is not able to display this video.
 
Na ww unaota tu, mm sio chadema ila chadema sio wa Jinga kiasi icho ndugai anaushawishi gani mpaka wamcinsider awe mgombea.... Uzi wa kitoto huu
 
Pumbavu!
 
Ila Tanzania kuna viumbe wa ajabu sana. Just imagine nchi nzima tungekuwa na akili kama mleta mada [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anyway umetumia haki yako ya kikatiba. Lakini bila kupepesa macho wazazi wako kwako wamepigwa na kitu kizito kichwani.
 
Bora umemwambia huyo mjinga anafananisha Lowasa na Ndugai,hakuna sehemu yoyote ile ambapo Lowasa alikuwa na ugomvi wowote na CHADEMA kwa sababu za kisiasa lakini Ndugai kaleta uhasama nchini,sijui ni jambo gani la kumsafisha.
 
Mleta post nadhani unaandika ukiwa Grocery leo jumamosi.
Hii lazima ni pombe imefanya kazi.
 
Ww ulanzi co chai
 
Ha ha ha hyo haiwezekan hata kwa akili ya kawaida tu, shule wengine hatujaenda sana lakn jambo hlo haliingii akili kiukwel.
 
Hizi ndoto unazoota sio nzuri, amka usije Ota unakunya ukachafua kitanda.
Ndio shida ya kulewa mataputapu kabla ya kulala
 
Hahahah!!!!hii nchi ina waokota makopo wengi sana
 

Naona mnauchungu sana na CHADEMA. Ila mjitahidi nchi isipigwe mnada.
 
Chadema hawana aibu.
ndio maana Dr. Slaa aliwakimbia.

Kuna mnafiki kuzidi wewe. Mbona huyo doctor slaa hamkumchagua??. CHADEMA Ni chama Cha siasa sio kanisa au msikiti. Lengo lao ni kuchukua madaraka. Hivyo mwaka 2015 Lowassa ndio alikuwa mgombea mwenye ushawishi hivyo waliona bora waende na Lowassa. Kwa Mara ya kwanza upinzani ulipata asilimia 40 ya kura na wabunge zaidi ya mia. CHADEMA walifanya pilitical gambling and it paid off.
 


Wewe sio bure bali unalo faili huko Mirembe.
 
Ccm mna maumivu makali tangu mwezi wa 3.17. 2021. Mungu alipoanza kuwaadhibu kwa mapigo mpaka 2025, mapigo ya mwisho yatakapoitimishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…