Ninapinga CHADEMA kumteua Ndugai kuwa Mgombea Urais 2025

Wewe utakuwa una matatizo ya kichwa!
 
hahahahahabababababab peeeeeeple's
 
Unaota ndoto baada ya kulewa gongo.
Hovyo kabisa...
 
Tundu Antipas lissu,anawafunika wote, kuanzia Mama yenu,na yeyote mtakayemteua,kinachohitajika muache michezo yenu ya kuiba kura
 
Wengi mmetukana lakini ni suala la muda tu... CHADEMA haina wenye sifa za kuwa rais. Wanasiasa wa CHADEMA wenye ushawishi kisiasa wengi wao shule hakuna kichwani halafu wale wenye elimu hawana ushawishi kisiasa. Hii imekuwa changamoto kubwa sana inapofika wakati wa uchaguzi. Kabla ya kuhama CCM tuliona kada wa CHADEMA akiandika makala ndefu kumshawishi Bernard Membe aende CHADEMA. Haitashangaza 2025 kuona Ndugai au Polepole kuwa mgombea urais wa CHADEMA
 
Hivi mfano CDM wakamsimamisha Lisu,
Huko CCM mkaenda na wa kwenu;
Nani hapo ana elimu ya kuunga?
 
Wapi chadema wamesema wanamteua Ndugai, embu amka kunywa maji mengi alafu ulale tena
 

Ndugai Ana nguvu gani mkuu. Ungesema majaliwa sawa. Kidogo ungeeleweka. Uzuri Majaliwa hana Tamaa. He is just a good man for his position as PM.
 
Lowasa hakuwahi kuwa adui wa Chadema,lakini Ndungai ni adui namba mbili wa Chadema, wa kwanza alikuwa Magufuli. Sasa kusema kuwa Ndungai ndiye mgombea wa Chadema hayo ni matusi na kuitweza Chadema. Thread hii itakaribisha mijadala isiyokuwa na afya na kulifanya JF kama kijiwe cha wavuta bangi.
 
Zamani wakati tunasoma vyuo vya elimu ya juu, ukipewa paper na kuona hakuna swali unalojua, basi unajitungia swali na kulijibu. Kwa hilo unamuonyesha Kwamba umesoma. Mtoa hoja nani kakwambia chadema wanamtaka Ndugai?
 
Ndugai hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi
Chadema ina hazina kubwa ya viongozi
 
Usiwastue Wacha wamteue tuu mkuu
 
Unajitekenya unacheka mwenyewe
Aliyekwambia Ndugai anataka kugombea urais nani
 
Na Ile mahakama ya mafisadi magufuli aliyotaka kuanzisha kwa akili ya lowasa na mafisadi imefikia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…