Ninapinga CHADEMA kumteua Ndugai kuwa Mgombea Urais 2025

Hii akili ya kitoto sana.
Kama mh Rais anawatu kama wewe wanaomsaidia kazi zake basi naomba nikiri tumekwisha.

Maana umezungumza upumbavu mkubwa mno ambao hata kufikirika haufikiriki
 
Siyo kweli kwamba Spika aliyejiuzulu ana nguvu kisiasa nchini Tz, Kama Kongwa kwenye alikuwa anapga watu kwa fimbo ndyo apite kwenye kura za maoni. Kwangu mimi huyo jamaa siyo maarufu kwenye siasa za Tz, ispokuwa anajulikana tu kwamba alkuwa speaker. Kwenye majukwaa ya kuomba kura kwa wananchi hawezi.
 
CHADEMA kwa sasa target yao ni Majaliwa mwana wa Kassimu Ndugai ataleta yale ya Ikulu sio morchuary kama Lowassa 2015
 
Ila wewe na ukoo wako ndiyo wenye sifa za kugombea urais siyo?
 
Chadema hawana aibu.
ndio maana Dr. Slaa aliwakimbia.
Interesting. 2007 Dr Slaa alisoma listi ya mafisadi pale mwembe chai akiwemo Lowassa; kisha 2015 kampokea Lowassa CHADEMA na yeye baadaye kuhamia kambi ya Magufuli akidai “choo kimehamishiwa sebuleni”, hawezi kukaa huko. Mara paap, 2019 Lowassa karejea CCM na kupokelewa kwa bashasha kabisa na Magufuli akisifiwa kuwa mwanasiasa mstaarabu sana!

Hizi characters: Dr Slaa, Mbowe, Lowassa, na Magufuli nani ni rafiki yenu na yupi ni adui yenu hasa?
 
Shida ni pale tu mmeo anaposhindwa kukufikisha Kibo!
 
We utakuwa ni Ndugai tu unajipigia debe uende chadema, kwa kifupi chadema imeshakomaa imeshawastukia mamluki, komaa na hali yako akuna anaekutaka chadema kwanza umewatesa sana.
 
We utakuwa ni Ndugai tu unajipigia debe uende chadema, kwa kifupi chadema imeshakomaa imeshawastukia mamluki, komaa na hali yako akuna anaekutaka chadema kwanza umewatesa sana.
Hakuna wa kumzuia Ndugai akitaka kuhamia CHADEMA.. tena akihamia CHADEMA siku hiyohiyo anakuwa mjumbe wa kamati kuu.
 

Ndiyo yale yale ya lowasa 😁😁 baada ya Muda anarudi nyumbani kwake ccm
 
Medulla ina expansion joints ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…