Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Cheti huwa ni kimoja tu hawatoi cha pili, huo utaratibu iliouweka utakusaidia kupata statement of results only ambayo itakusaidia kuendeleq na elimu au kupata kazi
 
Pole sana!! Kuna nafasi ya kuuza duka la spear za pik pik Kahama, utakuwa tayari?
 
Min tangazo limeeleweka, huyo mtoa post km ana shida ya kazi kulikuwa na umuhimu gani wa kusema km aliwahi kujiuza??

Hivi unaweza kuomba kazi ya ulinzi halafu ukasema uliwahi kuwa mwizi?? Akili kumkichwa
Kwamba anaomba kazi ya kulinda vibunda ila kwenye cv kuna sifa ya wizi🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…