Pole sana Dadangu, nimesoma Kwa Makini ujumbe wako, kweli umepitia magumu,Mimi sina pesa ya kukusaidia ila kama utapokea ushauri wangu pengine itasaidia.
1:Ukipata Kiasi hata Cha 50,000/- Cha weza kuwa kianzio Cha Mtaji wa biashara ndogo hata ya Matunda au Karanga
2:ja jaribu hata Mradi wa Maandazi hata chapati baada ya muda unaweza pata kitu flani,
3:Nenda veta jifunze fani rahisi kama ujasiriamali, ushonaji nk na uhakika baada ya miaka 2 utakuwa pazuri au jifunze ushonaji hata Kwa fundi mtaani
4:Achana na ujenzi mpka hali ikae sawa