Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Ninapitia msongo mkali wa mawazo baada ya kusimamishwa kazi kisa vyeti feki. Naomba ushauri niweze kujikwamua

Asante sana
Na kinachoniuma zaidi ni kuwa tulizaliwa wawili tu.
Hivyo napambana mdogo wangu amalize shule.
Pole sana Dadangu, nimesoma Kwa Makini ujumbe wako, kweli umepitia magumu,Mimi sina pesa ya kukusaidia ila kama utapokea ushauri wangu pengine itasaidia.
1:Ukipata Kiasi hata Cha 50,000/- Cha weza kuwa kianzio Cha Mtaji wa biashara ndogo hata ya Matunda au Karanga
2:ja jaribu hata Mradi wa Maandazi hata chapati baada ya muda unaweza pata kitu flani,
3:Nenda veta jifunze fani rahisi kama ujasiriamali, ushonaji nk na uhakika baada ya miaka 2 utakuwa pazuri au jifunze ushonaji hata Kwa fundi mtaani
4:Achana na ujenzi mpka hali ikae sawa
 
Oya hayuko sawa body count unajua inasoma ngapi hapo mpaka muda huu?

Hesabu miaka 6 piga hesabu ndogo kila mwezi wanaume 10 tofauti tofauti piga mara 12 piga mara miaka 6, kwa kadrio la chini tu. Unapata jibu ngapi?

Hapo sasa na hyo biashara aliyokuwa anafanya dah mungu amsaidie
 
Some things are better left unsaid. Hakukua na ulazima wa kusema ulikua unajiuza.
 
Back
Top Bottom