FATHER OF HISTORY
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 915
- 638
Pole sana Dadangu, nimesoma Kwa Makini ujumbe wako, kweli umepitia magumu,Mimi sina pesa ya kukusaidia ila kama utapokea ushauri wangu pengine itasaidia.Asante sana
Na kinachoniuma zaidi ni kuwa tulizaliwa wawili tu.
Hivyo napambana mdogo wangu amalize shule.
1:Ukipata Kiasi hata Cha 50,000/- Cha weza kuwa kianzio Cha Mtaji wa biashara ndogo hata ya Matunda au Karanga
2:ja jaribu hata Mradi wa Maandazi hata chapati baada ya muda unaweza pata kitu flani,
3:Nenda veta jifunze fani rahisi kama ujasiriamali, ushonaji nk na uhakika baada ya miaka 2 utakuwa pazuri au jifunze ushonaji hata Kwa fundi mtaani
4:Achana na ujenzi mpka hali ikae sawa