Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
mnauziwa viatu vyote vya kushoto na nguo zilizo pauka..walevi bana hadi wauza mitumba wanawatambua kua ndio kundi maalumuWalevi tuna mioyo mizuri ndio maana unaona omba omba wengi wapo bar kuliko kanisani 😁😁