Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa

😂😂😂 weee acha ajichagulie usiweke mipaka eti wa sisi kaka zako whereee
 
Tembelea kanisa lililo karibu nawe ukatoe zaka na sadaka, shukuru kisha omba utapewa

Tembelea msikiti uliopo karibu nawe toa zaka na sadaka, shukuru kisha omba utapewa

Nitajerea...
 
Kua kwanza, haya mawazo ya kitoto, usishangilie zinaa. Na siku ukijua kuishi na mwanamke ni zaidi ya kupikiwa, kufuliwa na kukumbatiana utakuja kufuta huu utoto ulioandika hapa
 
We fanya mambo Yako......mim hapa napoish peke angu ndo sijaolewa mbona Niko fresh tu
 
Kua kwanza, haya mawazo ya kitoto, usishangilie zinaa. Na siku ukijua kuishi na mwanamke ni zaidi ya kupikiwa, kufuliwa na kukumbatiana utakuja kufuta huu utoto ulioandika hapa
sawa mkuu
 
Kataa ndoa ni uhuni siku zote ukishi kwa kuwaza flani ananionaje utapata shida ishi maisha yako kwa kuwa upo single kipto chako fanyia maendeleo tu mahusinao kwa miaka hii ni kichomi sana wadada hawana hela siku hizi wananuka shida wanaomba mpaka vocha ya buku
 
Ukweli usipingika hawo wapangaji wenzako wanatamani kuwa singo kama wewe ulivyo, maana huko ndani hakukaliki, kula maisha wekeza fedha zako.

Ukifika wakati wa kuoa wala hutawaza jirani zako wanawaza nini, maana sasa hivi wasichana walio wengi wana presha ya kuolewa ghafla ili mradi nae awe na ndoa

, sasa katikahali kama hii ndipo vijana wengi wanaingia katikakifungo na watu wasio sahihi,
 
duh🙌
 
shukran 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…