Ninapoishi ni mimi pekee ambae sijaoa

Hapana mkuu, ila labda pengine ndo italeta picha nzuri maana wengine wote hapa wana wake zao me nikiwa sina naweza fikiriwa vibaya
Unaishi kwa kufikiria watu wengine...... Ukifkka miaka 50+ utakuja kugundua kuwa nobody cared about your life. Ni wewe tu wajuimshtukia. Ishi maisha yako usihangaike watu WA nawaza nini kuhusu wewe
 
Ishi maisha Yako ya kwao waachie wenyewe... Unataka kuridhisha Watu au nafsi Yako???
 
Unaishi kwa kufikiria watu wengine...... Ukifkka miaka 50+ utakuja kugundua kuwa nobody cared about your life. Ni wewe tu wajuimshtukia. Ishi maisha yako usihangaike watu WA nawaza nini kuhusu wewe
💯
 
Ishi maisha Yako ya kwao waachie wenyewe... Unataka kuridhisha Watu au nafsi Yako???
Hapana mkuu, sihitaji kuridhisha mtu ila ni kwamba ni sahihi kuishi mazingira kama haya ikiwa sifanani na wengine?
 
Mmmmhhh..... hapo kwenye age mm unanipa mashaka kidogooo na mambo unayoongea....
Ila sawa siwezi kuku judge sana
 
Watu tuna 28 Bado hatu waziii kuhusu mahusiano sababu tushakomaa ,tunachoangalia maisha tu ....tafuta pasa kuaoa kupo tu dogo usiwe na paparaaaa
 
Secret service Pamoja sana.
 
Miaka 23 mbona bado mdogo sana mkuu.

kula maisha kwanza usije ukaingia ndoani halafu ukaenda kuishi kibachelor.

Hili naliongea kwa msisitizo kula maisha na hakikisha unamaliza bila kusahau kujijenga kiuchumi.
halafu ukifika 28-30 ndio uanze kufikiria kuingia ndoani acha haraka kijana.
Ndoa ni zaidi ya hayo unayoyaona kwa wenzio.
 
Mmmmhhh..... hapo kwenye age mm unanipa mashaka kidogooo na mambo unayoongea....
Ila sawa siwezi kuku judge sana
hehe kwanini nakupa mashaka mkuu?
 
Watu tuna 28 Bado hatu waziii kuhusu mahusiano sababu tushakomaa ,tunachoangalia maisha tu ....tafuta pasa kuaoa kupo tu dogo usiwe na paparaaaa
sawa brother 🤜🤛
 
nashukuru sana mkuu🙏
 
Mkuu kama kwa sasa huna mtu wa kuishi nae chumba kimoja mchukue huyu mpwayungu village atakusaidia vijimajukumu vidogo vidogo kama kupika, kufua na kusafisha chumba & kutandika kitanda
 
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
 
[emoji457]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na mawazo ya kijinga ya kuoa kula mbususu wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…