LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
The true education has three qualities 👇
1. It helps you to acquire power.
2. It helps you to maintain power.
3. It helps you to protect the acquired power.
Kinyume na hapo ni utoto utoto tu kama utoto utoto mwingine.
Kwa bahati mbaya sana maarifa yenye uwezo wa kumpa mtu qualities tajwa hapo juu yamehodhiwa na wajanja wachache ambao ndio wanaitawala dunia.
Unamsomesha mtoto English Mediums kwa mamilioni anafika chuo anasomea udaktari halafu anakuja kukwambia
" Presha haina dawa"
" Kisukari hakina dawa"
" kansa haina dawa" etc.
Sasa huyu ameelimika au amekariri?
Kuna kitu gani kinacho elezea dhana ya "kusomea ujinga" kwa uzuri zaidi kama daktari specialist kusema presha haina dawa?
Unapoteza miaka mitano darasani ili uje utuambie presha haina dawa?
Elimu mnayo pewa haina qualities za kusolve matatizo yenu kwa hiyo ni sawa na ujinga tu.
Don't waste ur millions to pay for your kids in English Mediums.
Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.
Utapata mafanikio kwa kuwa na uwezo wa kutatua matatizo katika jamii yako.
Mfano hii ipo karibu katika kila kada kuanzia walimu, wanasheria etc.