passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Si kweli nakukatalia.Vyote. Huwa wanakariri aina za magonjwa na madonge ya dawa ya kutibia.
Anapewa NOTES anakariri anajibu mtihani anafaulu anakuwa DOKTA. 🤗
Kuna muda wa kusoma kawaida darasani na kuna muda wa practical.
Mtoto wa baba mkubwa ni wakike yeye ni daktari anakuambia mara ya kwanza anapewa mwili wa binadamu alikuwa amekufa, unapewa na detail zake. Yeye huyo alikufa kwa ajali ya bodaboda.
Siku ya kwanza alitapika sana.
Udaktari ni sehemu nyeti sana labda kama unasikiliza maneno ya vijiweni.
Hio elimu ya kusoma Archimedes principle pia ukifika level za juu unafanya na practical tofauti na tukiwa huku form two tunavyoisoma.
Wasomi bongo wapo, kuna tofauti Kati ya kujua sheria na kutenda haki.
Wapo wanasheria wazuri sana lakini haki hawatendi, usiulize Kwanini nadhani unafahamu.