Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

Vyote. Huwa wanakariri aina za magonjwa na madonge ya dawa ya kutibia.

Anapewa NOTES anakariri anajibu mtihani anafaulu anakuwa DOKTA. 🤗
Si kweli nakukatalia.
Kuna muda wa kusoma kawaida darasani na kuna muda wa practical.

Mtoto wa baba mkubwa ni wakike yeye ni daktari anakuambia mara ya kwanza anapewa mwili wa binadamu alikuwa amekufa, unapewa na detail zake. Yeye huyo alikufa kwa ajali ya bodaboda.
Siku ya kwanza alitapika sana.

Udaktari ni sehemu nyeti sana labda kama unasikiliza maneno ya vijiweni.

Hio elimu ya kusoma Archimedes principle pia ukifika level za juu unafanya na practical tofauti na tukiwa huku form two tunavyoisoma.

Wasomi bongo wapo, kuna tofauti Kati ya kujua sheria na kutenda haki.
Wapo wanasheria wazuri sana lakini haki hawatendi, usiulize Kwanini nadhani unafahamu.
 
Si kweli nakukatalia.
Kuna muda wa kusoma kawaida darasani na kuna muda wa practical.

Mtoto wa baba mkubwa ni wakike yeye ni daktari anakuambia mara ya kwanza anapewa mwili wa binadamu alikuwa amekufa, unapewa na detail zake. Yeye huyo alikufa kwa ajali ya bodaboda.
Siku ya kwanza alitapika sana.
Kupasua mwili wa binadamu sio ishu sana, unahitaji mkasi na kisu tu.

Hata teja wa barabarani ukimfundisha basics za HUMAN ANATOMY anaweza kupasua tumbo na kulishona.

Hiyo siyo elimu ya KUFIKIRI. Hiyo ni elimu ya KUSOMA na KUKARIRI NOTES.
 
Mtu anaweza akapewa asome kidole kwa wiki nzima na baada ya hapo anakuja kufanyiwa assessment na dokta.

Kama teja anaweza kufanya hivyo Kwanini hao mateja wasisaidiane na wanapeleka watu wao hospital?

Kama ni rahisi hivyo wewe unaweza ku perform upasuaji?

Kukariri ni kusoma tu maandishi, na kuyapeleka sehemu kama yalivyo.

Mkuu DR Mambo Jambo embu sikia huyu kijana anavyokejeli wakati alishindwa hata kukariri na anasema ni kazi rahisi.
 
Ni rahisi sana, unahitaji tu kujua mwili wa binadamu umeundwaje (Human Anatomy).

Mifupa, mishipa ya neva, misuli, nyama, mishipa ya damu na mfumo wa fahamu.

Unashika sindano unadunga ganzi, unakamata kisu unapasua tumbo, unacharanga manyama, unashona, unatia antiseptics UMEMALIZA.

Unavua gloves unaenda kunywa kahawa unasubiri mshahara.

NO THINKING AT ALL. Hata roboti linaweza hiyo kazi.
 
The true education has three qualities 👇

1. It helps you to acquire power.

2. It helps you to maintain power.

3. It helps you to protect the acquired power.

Kinyume na hapo ni utoto utoto tu kama utoto utoto mwingine.

Kwa bahati mbaya sana maarifa yenye uwezo wa kumpa mtu qualities tajwa hapo juu yamehodhiwa na wajanja wachache ambao ndio wanaitawala dunia..

Unamsomesha mtoto English Mediums kwa mamilioni anafika chuo anasomea udaktari halafu anakuja kukwambia

" Presha haina dawa"
" Kisukari hakina dawa"
" kansa haina dawa" etc.

Sasa huyu ameelimika au amekariri?

Kuna kitu gani kinacho elezea dhana ya "kusomea ujinga" kwa uzuri zaidi kama daktari specialist kusema presha haina dawa?

Unapoteza miaka mitano darasani ili uje utuambie presha haina dawa?

Elimu mnayo pewa haina qualities za kusolve matatizo yenu kwa hiyo ni sawa na ujinga tu.

Don't waste ur millions to pay for your kids in English Mediums.

Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.

Utapata mafanikio kwa kuwa na uwezo wa kutatua matatizo katika jamii yako.

Mfano hii ipo karibu katika kila kada kuanzia walimu, wanasheria etc.
Nahisi sijakuelewa kabisa. Hasa hiki kipengele ''
Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.''
 
elimu zetu ni zakusoma ilu mwishowe upate kazi uwe na familia, ujenge nyumba, ununue gari na kufungua duka, uzeeke upate mafao ule taratibu ufe..

wenzetu wanasoma ili waje kutatua changamoto fulani fulani zinazoikabiri taifa ama dunia kwa ujumla.....
 
Siku njema
 
kuna kipindi niliwatoa watoto kwenye hizo shule, aisee! wife alinishtaki kila mahali kwamba nawaharibia watoto elimu, ili ni save hela kwa ajili ya michepuko
sitasahau
 
Kama ungeshawahi kuwafundisha watoto katika ngazi ya sekondari na watoto hao wakawa walisoma shule za English medium, ungemwelewa mleta mada.
 
The true education has three qualities [emoji116]

1. It helps you to acquire power.

2. It helps you to maintain power.

3. It helps you to protect the acquired power.

Kinyume na hapo ni utoto utoto tu kama utoto utoto mwingine.

Kwa bahati mbaya sana maarifa yenye uwezo wa kumpa mtu qualities tajwa hapo juu yamehodhiwa na wajanja wachache ambao ndio wanaitawala dunia..

Unamsomesha mtoto English Mediums kwa mamilioni anafika chuo anasomea udaktari halafu anakuja kukwambia

" Presha haina dawa"
" Kisukari hakina dawa"
" kansa haina dawa" etc.

Sasa huyu ameelimika au amekariri?

Kuna kitu gani kinacho elezea dhana ya "kusomea ujinga" kwa uzuri zaidi kama daktari specialist kusema presha haina dawa?

Unapoteza miaka mitano darasani ili uje utuambie presha haina dawa?

Elimu mnayo pewa haina qualities za kusolve matatizo yenu kwa hiyo ni sawa na ujinga tu.

Don't waste ur millions to pay for your kids in English Mediums.

Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.

Utapata mafanikio kwa kuwa na uwezo wa kutatua matatizo katika jamii yako.

Mfano hii ipo karibu katika kila kada kuanzia walimu, wanasheria etc.
My brother you ur wrong unatumia theory ya political science kwenye elimu unapotosha mkuu, dictetors in political science apply hi theory 1.capture power.
2.consolidate it
3. Protect the power
CCM inatumia hiyo theory kwa kutoa elimu mbovu kwa raia ili iendelee kulinda na kukaa kwenye power, kwao watoto wao hupelekwa English and International schools to create ruling elites to dominant the poor majority with ill fated education system.
Usipotoshe mkuu elimu bora ndo mkombozi wa masikini.
 
FACT
 
Elimu ya Kukariri Archimedes Principle haiwezi kuzalisha manguli wa tiba na magonjwa.

Chuo cha udaktari huwa wanafundishwa kukariri aina za magonjwa na dawa zake na sio kuponya magonjwa.

Mtaala ukisema Kisukari hakina dawa, na wao wanabebelea hivyo hivyo na kujimwambafai kwamba hiyo ndiyo sayansi. Ati sayansi!

Kazi yao ni kumeza kila kitu kilichomo kwenye mtaala. Hakuna kufikiri wala kwenda kinyume.

Huyu daktari akija mtaani jiandae kupokea ndoige. Utalishwa madonge mpaka uombe poo.

Ni kudungwa tu machanjo ambayo hujui hata yametoka wapi.

Ukiuliza unaambiwa nyamaza hii ni SAYANSI 😂😂
Ila mkuu huo ni mfumo duniani kote madaktari wanakaririshwa sio kwa wabongo tu.
 
elimu zetu ni zakusoma ilu mwishowe upate kazi uwe na familia, ujenge nyumba, ununue gari na kufungua duka, uzeeke upate mafao ule taratibu ufe..

wenzetu wanasoma ili waje kutatua changamoto fulani fulani zinazoikabiri taifa ama dunia kwa ujumla.....
Kwahiyo suluhisho tuwapeleke watoto kusoma huko nje ya nchi?
 
kuna kipindi niliwatoa watoto kwenye hizo shule, aisee! wife alinishtaki kila mahali kwamba nawaharibia watoto elimu, ili ni save hela kwa ajili ya michepuko
sitasahau
Mm nishamwambia wife wanangu shule mwsho form 4 basiiiiiiiiiii kuna jns nahtaj kuwa mwalim mzur kw watoto nasio kuruhusu wakalishwe upuuz kw elim ya bongo yenye mtaala duni. Nimepita kote had vyuo vikuu naelewa hii elim wap inapwaya wap itapoteza muda kw watoto wng lazma tuwe waalimu bora kw vizaz vyetu
 
Back
Top Bottom