Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

Ninaposema msilipe mamilioni kuwasomesha watoto wenu English Medium huwa namaanisha mambo kama haya

My brother you ur wrong unatumia theory ya political science kwenye elimu unapotosha mkuu, dictetors in political science apply hi theory 1.capture power.
2.consolidate it
3. Protect the power
CCM inatumia hiyo theory kwa kutoa elimu mbovu kwa raia ili iendelee kulinda na kukaa kwenye power, kwao watoto wao hupelekwa English and International schools to create ruling elites to dominant the poor majority with ill fated education system.
Usipotoshe mkuu elimu bora ndo mkombozi wa masikini.
What is power?
 
Ni rahisi sana, unahitaji tu kujua mwili wa binadamu umeundwaje (Human Anatomy).

Mifupa, mishipa ya neva, misuli, nyama, mishipa ya damu na mfumo wa fahamu.

Unashika sindano unadunga ganzi, unakamata kisu unapasua tumbo, unacharanga manyama, unashona, unatia antiseptics UMEMALIZA.

Unavua gloves unaenda kunywa kahawa unasubiri mshahara.

NO THINKING AT ALL. Hata roboti linaweza hiyo kazi.
Kwa mawazo yako Daktari anatakiwa afanye vitu gan Extra ili aonekane anamsaada katika jamii.
 
Ndio nimeuliza kwanini watu waone hakuna tofauti kubwa ikiwa hayo unayoeleza yapo kwenye uhalisia?
Khalid Bakhresa- Azam ice cream
Gwamaka kifukwe
Sho madjozi
Mohamed dewji
Usman ally
Walter kitundu
Saurabin ketrapal

Benjamin fernandes CEO NALA Kasoma HOPAC, havard na stanford.
Magdalena muogeleaji olympic

Huko kwenye mashirika ya UNICEF, UNESCO, na mengine ndio wapo kibao.

Pointi ni serikali iangalie namna ya kuboresha elimu tuendane na kasi na kuweza kushidana katika soko la ajira la dunia.
Huwezi kubattle na mtoto aliyetoka Feza int huwezi hata kidogo sababu wana exposure kubwa.
Wapo wengi sana
 
Si kweli nakukatalia.

Mtu anaweza akapewa asome kidole kwa wiki nzima na baada ya hapo anakuja kufanyiwa assessment na dokta.

Kama teja anaweza kufanya hivyo Kwanini hao mateja wasisaidiane na wanapeleka watu wao hospital?

Kama ni rahisi hivyo wewe unaweza ku perform upasuaji?

Kukariri ni kusoma tu maandishi, na kuyapeleka sehemu kama yalivyo.

Mkuu DR Mambo Jambo embu sikia huyu kijana anavyokejeli wakati alishindwa hata kukariri na anasema ni kazi rahisi.
🤣🤣🤣
Nimemsikiliza muulize mpaka leo kapasua wangapi?
Kwanini Hajajifunza Kupasua!
Au kuwa Daktari?

Amewahi kuokoa Nani hata kwa bahati mbaya?

If Its were easy every one would be a Doctor Because its the best Job in the World, Despite everything!

CC: BICHWA KOMWE -
 
Elimu ya Kukariri Archimedes Principle haiwezi kuzalisha manguli wa tiba na magonjwa.

Chuo cha udaktari huwa wanafundishwa kukariri aina za magonjwa na dawa zake na sio kuponya magonjwa.

Mtaala ukisema Kisukari hakina dawa, na wao wanabebelea hivyo hivyo na kujimwambafai kwamba hiyo ndiyo sayansi. Ati sayansi!

Kazi yao ni kumeza kila kitu kilichomo kwenye mtaala. Hakuna kufikiri wala kwenda kinyume.

Huyu daktari akija mtaani jiandae kupokea ndoige. Utalishwa madonge mpaka uombe poo.

Ni kudungwa tu machanjo ambayo hujui hata yametoka wapi.

Ukiuliza unaambiwa nyamaza hii ni SAYANSI 😂😂
Kukariri aina za magonjwa then kwanini hachanganyi magonjwa?
Duniani kuna magonjwa Zaidi ya 10,000 na yote anayajua!...
So anakariri au Anaelewa magonjwa?
 
Kukariri aina za magonjwa then kwanini hachanganyi magonjwa?
Duniani kuna magonjwa Zaidi ya 10,000 na yote anayajua!...
So anakariri au Anaelewa magonjwa?
Dokta samaleko.

Nyie mnakariri mtaala, ndio maana hamuwezi kuponya kansa hadi leo mnawabanika watu kwenye tanuru la mionzi kwa kuwa tu mmeelekezwa kufanya hivyo na Ummy Mwalimu.

Huu ni udokta uchwara.
 
🤣🤣🤣
Nimemsikiliza muulize mpaka leo kapasua wangapi?
Kwanini Hajajifunza Kupasua!
Au kuwa Daktari?

Amewahi kuokoa Nani hata kwa bahati mbaya?

If Its were easy every one would be a Doctor Because its the best Job in the World, Despite everything!
View attachment 2872529

CC: BICHWA KOMWE -
Dokta tuache masihara, tuseme tu ukweli, ukitaka kupasua mtu unahitaji zana kuu mbili basi: KISU na MKASI.

Hata teja ukimfundisha HUMAN ANATOMY anaweza kupasua manyama na kuyashona.

Unadunga limrija la kuongezea damu, unamtia ganzi unaanza kucharanga manyama ndani manyama nje.

Kiukweli hii ni rahisi sana. Ni vile tu mmejivika utukufu ili kuwahadaa wananchi waendelee kubugia madonge yenu yenye sumu.

Samaleko!
 
The true education has three qualities 👇

1. It helps you to acquire power.

2. It helps you to maintain power.

3. It helps you to protect the acquired power.

Kinyume na hapo ni utoto utoto tu kama utoto utoto mwingine.

Kwa bahati mbaya sana maarifa yenye uwezo wa kumpa mtu qualities tajwa hapo juu yamehodhiwa na wajanja wachache ambao ndio wanaitawala dunia.

Unamsomesha mtoto English Mediums kwa mamilioni anafika chuo anasomea udaktari halafu anakuja kukwambia

" Presha haina dawa"
" Kisukari hakina dawa"
" kansa haina dawa" etc.

Sasa huyu ameelimika au amekariri?

Kuna kitu gani kinacho elezea dhana ya "kusomea ujinga" kwa uzuri zaidi kama daktari specialist kusema presha haina dawa?

Unapoteza miaka mitano darasani ili uje utuambie presha haina dawa?

Elimu mnayo pewa haina qualities za kusolve matatizo yenu kwa hiyo ni sawa na ujinga tu.

Don't waste ur millions to pay for your kids in English Mediums.

Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.

Utapata mafanikio kwa kuwa na uwezo wa kutatua matatizo katika jamii yako.

Mfano hii ipo karibu katika kila kada kuanzia walimu, wanasheria etc.
Hiyo cha mtoto unalipa Feza school milioni 7 kila mwaka kuanzia form 1 hadi form 6.

Akimaliza Degree ICT udism anakuja kutembeza Bahasha Kazi ya Laki Saba kwa mwezi.

Elimu ni nzuri lakini kama wewe ni maskini anayehangaika kwa jasho kutafuta pesa usiige

Mapedejee mafisadi wanaoiba pesa za serikali na kusomesha watoto kwa pesa ndefu kama wale aliosema Kigwangala Juzi.
 
Khalid Bakhresa- Azam ice cream
Gwamaka kifukwe
Sho madjozi
Mohamed dewji
Usman ally
Walter kitundu
Saurabin ketrapal

Benjamin fernandes CEO NALA Kasoma HOPAC, havard na stanford.
Magdalena muogeleaji olympic

Huko kwenye mashirika ya UNICEF, UNESCO, na mengine ndio wapo kibao.

Pointi ni serikali iangalie namna ya kuboresha elimu tuendane na kasi na kuweza kushidana katika soko la ajira la dunia.
Huwezi kubattle na mtoto aliyetoka Feza int huwezi hata kidogo sababu wana exposure kubwa.
Wapo wengi sana
Abigail Chams kasoma Hopac now anakata viuno tu jukwaani.

Wema Sepetu kasoma Academy
 
Hiyo cha mtoto unalipa Feza school milioni 7 kila mwaka kuanzia form 1 hadi form 6.

Akimaliza Degree ICT udism anakuja kutembeza Bahasha Kazi ya Laki Saba kwa mwezi.

Elimu ni nzuri lakini kama wewe ni maskini anayehangaika kwa jasho kutafuta pesa usiige

Mapedejee mafisadi wanaoiba pesa za serikali na kusomesha watoto kwa pesa ndefu kama wale aliosema Kigwangala Juzi.
Exactly mkuu 100% right
 
Exactly mkuu 100% right
Niliwahi kufanya kazi na mtoto wa kigogo kasomea Nje ya Nchi kwa Hundreds of milions........hiyo pesa tuliokuwa tunalipwa sasa nikajisemea huyu jamaa kaenda kusomea ujinga( in Faiza' s voice)
 
Back
Top Bottom