Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watoto wao elimu wanapata nje ya nchi au humu humu ndani?Serikali ifanye maboresho, tu ila si kwa serikali hii. Hawatakubali itabidi elimu iendelee hivi hivi ili waendelee kutawala huku watoto wao wakipewa elimu safi na kuja kuendelea kushika nafasi.
Hata ikiwa humu humu ndani ni international school hakuna tofauti na kuwa nje ya nchi sababu mtaala ni ule ule.Watoto wao elimu wanapata nje ya nchi au humu humu ndani?
Kwahiyo ubora wa elimu ya watoto wa viongozi tunaupima kwenye nini ndio kwenye hizo nafasi za uongozi wanazopewa ama vp?Hata ikiwa humu humu ndani ni international school hakuna tofauti na kuwa nje ya nchi sababu mtaala ni ule ule.
Suala zima elimu bora mkuu.Kwahiyo ubora wa elimu ya watoto wa viongozi tunaupima kwenye nini ndio kwenye hizo nafasi za uongozi wanazopewa ama vp?
Kwahiyo tunaupimaje sasa huo ubora wa elimu zao hapa nchini tukitoa huko kwenye uongozi?Suala zima elimu bora mkuu.
Fact ni kwamba huwezi linganisha elimu ya feza na diplomasia.
Huwezi sema kwenye nafasi maana hata hizi nafasi wapo waliotokea huku serikali.
Tunaangalia majority kubwa
Competition kimataifa.Kwahiyo tunaupimaje sasa huo ubora wa elimu zao hapa nchini tukitoa huko kwenye uongozi?
Kwa hiyo huyo aliyesoma shule za Kata akisema hayo uliyoyataja itakuwa hakuna tatizo lolote. Ila wale wa shule za English Medium panakuwa na tatizo la Mzazi kupoteza fedha kumpeleka mwanawe kusomea ujinga?The true education has three qualities 👇
1. It helps you to acquire power.
2. It helps you to maintain power.
3. It helps you to protect the acquired power.
Kinyume na hapo ni utoto utoto tu kama utoto utoto mwingine.
Kwa bahati mbaya sana maarifa yenye uwezo wa kumpa mtu qualities tajwa hapo juu yamehodhiwa na wajanja wachache ambao ndio wanaitawala dunia..
Unamsomesha mtoto English Mediums kwa mamilioni anafika chuo anasomea udaktari halafu anakuja kukwambia
" Presha haina dawa"
" Kisukari hakina dawa"
" kansa haina dawa" etc.
Sasa huyu ameelimika au amekariri?
Kuna kitu gani kinacho elezea dhana ya "kusomea ujinga" kwa uzuri zaidi kama daktari specialist kusema presha haina dawa?
Unapoteza miaka mitano darasani ili uje utuambie presha haina dawa?
Elimu mnayo pewa haina qualities za kusolve matatizo yenu kwa hiyo ni sawa na ujinga tu.
Don't waste ur millions to pay for your kids in English Mediums.
Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.
Utapata mafanikio kwa kuwa na uwezo wa kutatua matatizo katika jamii yako.
Mfano hii ipo karibu katika kila kada kuanzia walimu, wanasheria etc.
Kama ni hivyo kipi kinafanya watu wasione huo utofauti mkubwa kiasi cha kuibuka mada kama hizi?Competition kimataifa.
Unaweza kupambana na feza international wewe umetoka mbondole?
An extra advantage mtoto tangu mdogo anasomeshwa anakua na exposure kubwa
Mfano hata mo dewji IST kasimamia kampuni za mzee kutoka $30M mpaka $ 1.5B
I agree with youThe true education has three qualities 👇
1. It helps you to acquire power.
2. It helps you to maintain power.
3. It helps you to protect the acquired power.
Kinyume na hapo ni utoto utoto tu kama utoto utoto mwingine.
Kwa bahati mbaya sana maarifa yenye uwezo wa kumpa mtu qualities tajwa hapo juu yamehodhiwa na wajanja wachache ambao ndio wanaitawala dunia..
Unamsomesha mtoto English Mediums kwa mamilioni anafika chuo anasomea udaktari halafu anakuja kukwambia
" Presha haina dawa"
" Kisukari hakina dawa"
" kansa haina dawa" etc.
Sasa huyu ameelimika au amekariri?
Kuna kitu gani kinacho elezea dhana ya "kusomea ujinga" kwa uzuri zaidi kama daktari specialist kusema presha haina dawa?
Unapoteza miaka mitano darasani ili uje utuambie presha haina dawa?
Elimu mnayo pewa haina qualities za kusolve matatizo yenu kwa hiyo ni sawa na ujinga tu.
Don't waste ur millions to pay for your kids in English Mediums.
Hiyo pesa wekeza kwenye maendeleo na kwa habari ya Elimu wekeza kwenye maarifa yatakayo mpa uwezo wa kusolve matatizo halisi katika jamii inayo mzunguka.
Utapata mafanikio kwa kuwa na uwezo wa kutatua matatizo katika jamii yako.
Mfano hii ipo karibu katika kila kada kuanzia walimu, wanasheria etc.
Sio zote Mkuu Kuna shule za serikali ziko vizuri sanaMara mia hivyo kuliko kumpeleka mtoto shule ambayo serikali yenyewe Haina muda na hao walimu
SHULE ZA SERIKALI NI UOZO MTUPU.
Upo sana.Kama ni hivyo kipi kinafanya watu wasione huo utofauti mkubwa kiasi cha kuibuka mada kama hizi?
mkuu niliwarudisha academyKwa hiyo mwisho wa siku ikawaje?
Ndio nimeuliza kwanini watu waone hakuna tofauti kubwa ikiwa hayo unayoeleza yapo kwenye uhalisia?Upo sana.
Wengi wanapata exposure za kufanya kazi katika mashirika makubwa duniani
An extra advantage ambayo ni ngumu kwa shule za serikali hapo utofauti ndipo ulipo.
Kama serikali itaboresha kuendana na kasi ya dunia tunaweza tukawa tunatoa wanafunzi kutoka kata kupambana katika soko la ajira duniani na kupunguza jobless Mitaani.
Watoto wanaosoma huku wanafundishwa practical zaidi anaanza simamia biashara akiwa mdogo na kufahamu vitu vingi.
Kufundishwa kutengeneza ajira na mambo mengine.