Mbona hata wavuvi wa samaki tunajua majukumu Yao na tunajua walichofanyaTafadhali msichanganye kitengo cha jeshi cha Navy na kitengo cha jeshi la Zimamoto na Uokozi...Ni vitengo viwili tofauti na vipo wizara mbili tofauti...
Mara nyingi Jeshi la JWTZ hushirikishwa kwenye uokozi wa mambo ya kiraia, kwa sababu wao hupitia mafunzo ya uokozi katika aina tofauti tofauti za majanga na wana divers pia lakini hilo sio jukumu lao la msingi...
Sidhani kama biashara ya hiyo ndege ingekuepo na hivyo kusingekuwa na safari hence ajali hii isingekuepo.Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali yakukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
Kwa maelezo yako nimeelewa kwamba Jeshi la zimamoto na uokozi ndo lenye wajibu wa kuokoa watu kwenye majanga ya majini.Tafadhali msichanganye kitengo cha jeshi cha Navy na kitengo cha jeshi la Zimamoto na Uokozi...Ni vitengo viwili tofauti na vipo wizara mbili tofauti...
Mara nyingi Jeshi la JWTZ hushirikishwa kwenye uokozi wa mambo ya kiraia, kwa sababu wao hupitia mafunzo ya uokozi katika aina tofauti tofauti za majanga na wana divers pia lakini hilo sio jukumu lao la msingi...
Pumbavu wewe?magu kashindwa kupigania roho yake angefanya nini kwa hawa viumbeHii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali yakukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
...Na Ajali Ile ya Meli pale Mwanza Miaka Michache nyuma inaelekea haikufundisha lolote licha ya Matamshi Kadhaa ya Kisiasa yalitolewa wakati ule!!Mimi lawama zote nawarushia CCM maana ndiyo serikali inayoongoza nchi.
Serikali ya CCM inaona ma Toyota VX V8 ni muhimu kuliko uhai wa mwananchi.
Kiongozi wa CCM anakurupuka na matamko ya kisiasa, aache watu wa plane crash investigation wafanye kazi yao.
Hii nchi msishangae kusikia Black box imeibiwa ili tu kufanya uchunguzi wa kitaalamu usifanyike kumlinda PM na kauli yake asije akaumbuka
Zimamoto na uokoajiKwahiyo kuokoa majanga yanayotokea baharini pamoja na ziwani ni jukumu la nani?
Umesema kwamba wamejifunza mbinu mbalimbali za uokozi, swali ni kwamba hawakuona umuhimu wa kuwahi eneo la tukio kuokoa maisha kwa sababu siyo jukumu lao?Tafadhali msichanganye kitengo cha jeshi cha Navy na kitengo cha jeshi la Zimamoto na Uokozi...Ni vitengo viwili tofauti na vipo wizara mbili tofauti...
Mara nyingi Jeshi la JWTZ hushirikishwa kwenye uokozi wa mambo ya kiraia, kwa sababu wao hupitia mafunzo ya uokozi katika aina tofauti tofauti za majanga na wana divers pia lakini hilo sio jukumu lao la msingi...
Okay.Zimamoto na uokoaji
Huyu mjumbe hajanishawishiKwa maelezo yako nimeelewa kwamba Jeshi la zimamoto na uokozi ndo lenye wajibu wa kuokoa watu kwenye majanga ya majini.
Nipo sahihi?
Hawa hapa ShemNaomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
9 December inakaribia …utaona kazi zao Mkuu, usiandikie mate …Naomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
Ha ha haa hao ni Navy kweli?Hawa hapa ShemView attachment 2408964
Navy wako LikizoHa ha haa hao ni Navy kweli?
Huwa wanaitwa wakati wa majanga.Navy wako Likizo
Tar 9 Disemba tutaona kazi zao Uwanja wa TaifaHuwa wanaitwa wakati wa majanga.
Hawa ni wapiganaji wa majini, kuna wa anga (airforce), nchi kavu (infantry). Wote hwa wanalinda nchi na maadui dhidi uvamizi.Naomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
Asante mkuu.Hawa ni wapiganaji wa mjini, kuna wa anga (airforce), nchi kavu (infantry). Wote hwa wanalinda nchi na maadui dhidi uvamizi.
Ndio nchi ya ZanzibarPale kivukoni Kigamboni kuna mpaka gani? Au nchi ya Zanzibar