Ninaposema Mwafrika kapunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa muwe mnaelewa. Rejea ajali ya ndege Bukoba 06/11/2022

Ninaposema Mwafrika kapunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa muwe mnaelewa. Rejea ajali ya ndege Bukoba 06/11/2022

Tafadhali msichanganye kitengo cha jeshi cha Navy na kitengo cha jeshi la Zimamoto na Uokozi...Ni vitengo viwili tofauti na vipo wizara mbili tofauti...

Mara nyingi Jeshi la JWTZ hushirikishwa kwenye uokozi wa mambo ya kiraia, kwa sababu wao hupitia mafunzo ya uokozi katika aina tofauti tofauti za majanga na wana divers pia lakini hilo sio jukumu lao la msingi...
Mbona hata wavuvi wa samaki tunajua majukumu Yao na tunajua walichofanya
 
Hii ajali ukiangalia kwa upana na marefu yake. Ni ajali yakukosa uwajibikaji. Yani tumerudi kule tumetoka. Jiulize angekuwa hai Mzee Magu.... End
Sidhani kama biashara ya hiyo ndege ingekuepo na hivyo kusingekuwa na safari hence ajali hii isingekuepo.
 
Tafadhali msichanganye kitengo cha jeshi cha Navy na kitengo cha jeshi la Zimamoto na Uokozi...Ni vitengo viwili tofauti na vipo wizara mbili tofauti...

Mara nyingi Jeshi la JWTZ hushirikishwa kwenye uokozi wa mambo ya kiraia, kwa sababu wao hupitia mafunzo ya uokozi katika aina tofauti tofauti za majanga na wana divers pia lakini hilo sio jukumu lao la msingi...
Kwa maelezo yako nimeelewa kwamba Jeshi la zimamoto na uokozi ndo lenye wajibu wa kuokoa watu kwenye majanga ya majini.
Nipo sahihi?
 
Mimi lawama zote nawarushia CCM maana ndiyo serikali inayoongoza nchi.
Serikali ya CCM inaona ma Toyota VX V8 ni muhimu kuliko uhai wa mwananchi.

Kiongozi wa CCM anakurupuka na matamko ya kisiasa, aache watu wa plane crash investigation wafanye kazi yao.

Hii nchi msishangae kusikia Black box imeibiwa ili tu kufanya uchunguzi wa kitaalamu usifanyike kumlinda PM na kauli yake asije akaumbuka
...Na Ajali Ile ya Meli pale Mwanza Miaka Michache nyuma inaelekea haikufundisha lolote licha ya Matamshi Kadhaa ya Kisiasa yalitolewa wakati ule!!
 
Tafadhali msichanganye kitengo cha jeshi cha Navy na kitengo cha jeshi la Zimamoto na Uokozi...Ni vitengo viwili tofauti na vipo wizara mbili tofauti...

Mara nyingi Jeshi la JWTZ hushirikishwa kwenye uokozi wa mambo ya kiraia, kwa sababu wao hupitia mafunzo ya uokozi katika aina tofauti tofauti za majanga na wana divers pia lakini hilo sio jukumu lao la msingi...
Umesema kwamba wamejifunza mbinu mbalimbali za uokozi, swali ni kwamba hawakuona umuhimu wa kuwahi eneo la tukio kuokoa maisha kwa sababu siyo jukumu lao?

Umbali kutoka eneo la ajali na Navy base ilio karibu ni Km ngapi?
 
Naomba kufahamishwa kazi ya wanajeshi wetu wa Navy tafadhali.
Hawa hapa Shem
IMG-20221107-WA0007.jpg
 
Hawa ni wapiganaji wa mjini, kuna wa anga (airforce), nchi kavu (infantry). Wote hwa wanalinda nchi na maadui dhidi uvamizi.
Asante mkuu.
Basi wa kulaumiwa ni jeshi la zimamoto na uokoaji
 
Back
Top Bottom