Ninashangaa sana wanaojaribu kuilinganisha Yanga sc na vilabu vingine Tanzania

Hii ya kila aya kumalizia "mbele ya hao wanaume" kunatoa picha ya aina yake.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
 
Sanamu la Rage linachelewa sana kujengwa! Hawa mbumbumbu fc kwao ni mirembe! Yaani hawataki kabisa kukubali Yanga ni ya moto sana mfano mdogo tu kombe la Azam Federation makolo wameumaliza mwendo nusu fainali Yanga Leo tumetinga fainali, kombe la bara msimu wa pili tayari makolo wanasindikiza wanaume tu!

Shirikisho ni kombe kubwa la pili Africa SiO rahisi maana hata timu ambazo hazimo kama Azam tu makolo hamuwawezi mngeitoa Mazembe?

Masahihisho:
mshindi WA pili shirikisho anabeba pesa ndefu 2.3B kuzidi aliefika robo fainali klabu bingwa Afrika 2.1B. Ndugu yangu ushabiki utakuua kubali tu hamjiwezi! Tafuta takwimu boss.
 
Najaribu kuwaza. Hivi Yanga wangefika robo fainali CAF champions league na kushika nafasi ya pili kwenye ligi, tungesema msimu kwao umekuwa wa mafanikio au failure? Mwanayanga yeyote aje ajibu hili swali.
Hayo sio mafanikio
 
Simba ana makombe mengi zaidi ya Mashindano kwa ujumla kuliko Yanga.
Ana makombe 58 hivyo Simba ni mkubwa kimafanikio kuliko Yanga.
 
Simba ana makombe mengi zaidi ya Mashindano kwa ujumla kuliko Yanga.
Ana makombe 58 hivyo Simba ni mkubwa kimafanikio kuliko Yanga.
Baada ya mwaka huu tutakuwa tushamaliza ubishi.
 
Fact kabisa
 
Mwenyew nashangaaa...
 
Ujinga ni kipaji pia ambacho mleta uzi unacho
 
Kushika nafasi ya pili ni mafanikio?
Kuishia robo fainali ni mafanikio?
Kama kuishia robo CAFCL sio mafanikio,utopolo uliishia hatua gani?maana nao walishiriki kabla ya kufurushwa na kwenda luzaz kapu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…