Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

Ninasumbuliwa na "Chronical Acne. Zinaninyima amani mbele za watu

Daah hapo kweli nimezingua. Sema kuna wakat zinashawishi kufanya vivyo, lakin nitajitahidi kuchumia jua ili nilie kivulini.....
Mm nisiposhave kwa siku 4 naanza kuwashwa, hii kitu inanikera mno, ikabidi nianze kutumia wembe, wembe umenipa vipele na ngozi kuwa na uweusi fulani hivi.
 
Mimi nina sumbuliwa na "Chronical Acne", zinaninyima amani mbele za watu, nakuwa uncomfortable [emoji21], hata kumtizama mtu usoni inakuwa ni ngumu. Umri unaenda bado zipo, mpaka sasa 30 yrs

Inafikia hatua ukimtizama mtu usoni, maada inabadilika anaanza kunishauri tena mara tumia sabuni ya ngwanji, mara Dettol soap, mara tumia lemon, mara paka mkojo wa punda. Wakati huu mimi nimetumia product kubwakubwa kama:

CeraVe, The ordinary products, Vovi deep pole cleanser, Nax n.k lakini ngoma bado, ndo maana nimeziita Chronical Acne

Naombeni ushauri, nitumie nini ili nikae vizuri, Au nifanye nini ili niwe na amani japo kidogo hata nikiwa mbele za watu... Mawazo yenu ni faraja kwangu.....

Sent from my JamiiForums mobile app[/URL]
Umeshaolewa?
 
Mm nisiposhave kwa siku 4 naanza kuwashwa, hii kitu inanikera mno, ikabidi nianze kutumia wembe, wembe umenipa vipele na ngozi kuwa na uweusi fulani hivi.

Mimi nina vipele after shaving, wanaita razor bumps, sijui razor burn, aiseee hii kitu inanitesa sana.

Wanasema niache ndevu zikue, nikiacha siku ya 3 tu, nawashwa maeneo ya ndevu na vipele vinatoka.
Kuhus Ndevu sinahakika ngoja nimuulizie mahali nitakuletea jibu hapa
 
Una mke au mume?
Sometimes dawa ya ngozi ni sex ..
Hasa kama tatizo ni hormones imbalances...
Unapaswa Ku sex mara Kwa mara ...utashangaa...ukiongeza na kuoga maji ya Bahraini Tu ... utashangaa Sana
 
Mwanaume kuwaza chunusi ni kitu shallow sana. Tafuta hela mkuu zitakimbia zenyewe.
 
Kuhusu sunscreen ningekushauri usubiri kwanza. Kwakua ngozi yako ni oily na sensitive inamaana hautaki kashikashi nyingi, pia ngozi yako inataka kupumua.
Ndiomaana nilishauri uwe unafanya face steaming hii ni njia ya kutia mvuke usoni. Faida yake ni kugungua vitundu vya ngozi ili dawa ipenye na pia kuongeza unyevu kwenye ngozi yako.
Hii njia pekeake unaweza kuitumia na uakaacha kupaka vyote hivyo na Bado utaona matokeo.
 
Tafuta dawa hii kwenye pharmacy
Persol 2.5gel pakaa mara moja kila siku usiku tu.
Ukiweza katika muda wote wa matibabu usipakae kitu chochote usoni isipokuwa dawa tu ukishindwa pakaa mafuta ya nazi.
Baada ya kupona tafuta body lotion for oily skin au yenye lemon hii itakuwa inasaidia kukamua mafuta kwenye ngozi,epuka kutumia product zenye cocoa butter huongeza mafuta mwilini pia punguza kula sana vyakula vyenye mafuta
 
Mimi nina sumbuliwa na "Chronical Acne", zinaninyima amani mbele za watu, nakuwa uncomfortable [emoji21], hata kumtizama mtu usoni inakuwa ni ngumu. Umri unaenda bado zipo, mpaka sasa 30 yrs

Inafikia hatua ukimtizama mtu usoni, maada inabadilika anaanza kunishauri tena mara tumia sabuni ya ngwanji, mara Dettol soap, mara tumia lemon, mara paka mkojo wa punda. Wakati huu mimi nimetumia product kubwakubwa kama:

CeraVe, The ordinary products, Vovi deep pole cleanser, Nax n.k lakini ngoma bado, ndo maana nimeziita Chronical Acne

Naombeni ushauri, nitumie nini ili nikae vizuri, Au nifanye nini ili niwe na amani japo kidogo hata nikiwa mbele za watu... Mawazo yenu ni faraja kwangu.....

Sent from my JamiiForums mobile app[/URL]
Mtafute mtu anaitwa nyawilitips Instagram. Ana skin clinic, atakusaidia
 
Tafuta dawa hii kwenye pharmacy
Persol 2.5gel pakaa mara moja kila siku usiku tu.
Ukiweza katika muda wote wa matibabu usipakae kitu chochote usoni isipokuwa dawa tu ukishindwa pakaa mafuta ya nazi.
Baada ya kupona tafuta body lotion for oily skin au yenye lemon hii itakuwa inasaidia kukamua mafuta kwenye ngozi,epuka kutumia product zenye cocoa butter huongeza mafuta mwilini pia punguza kula sana vyakula vyenye mafuta
Persol 5 gel ni nzuri sana au Benzolyperoxide gel pia anaeza tumia

Ila chunusi 😂😂😂😂😂😂 ewooo nimezivulia kofia
 
My dear kwanza pole chunusi ni janga la kila mtu

Unaeza trt hii yangu sio too complicated

1) Achana na loshen unayopaka usonu anza kutumia mafuta ya kimiminika kama mafuta ya nazi na yenyewe kwa kua uso unamafuta chukua tone mbili za mafuta ya nazi changanya na maji pakaa usoni unaeza jifuta pia na kitambaaa

- Sehem zingine za mwili paka hizo loshen ila usoni usitumie

2)Tafuta product zenye Benzoly peroxide kama Person 5 gel au Benzolyperoxxide gel zipo pharmacy zitakusaidia
 
Mim nakumbuka kipindi nabalehe nilitoka machunusi tele hadi naona aibu kwenda shule.. mzee alinambiaga chunusi kwa mwanaume ndio zinakupendeza sana.. since hapo sikuon aibu tena ila nilikua najiproud kabisa mbele za watu.. NAWEWE CHUKUA HIO KAULI..
 
Back
Top Bottom